Watu wengi waliofikisha umri mkubwa huwa wapo tofauti kiufanisi kwenye sex ..kwa wanaume nguvu ushuka sana na kukurukakara upungua sana kitandani ..kwa wanawake ugumu wa kuwafikisha kileleni unaongezeka umri unavyo zidi kwa wanaume nguvu zinashuka umri unavyo zidi . Sasa tumia akiliAcha kuchanganya mambo
Thread ifunguliwe unemalizaNdo maana hata kwenye kazi wana prefer wenye experience, wanasema nothing beat experience for a reason 😂😂😂
Unajua nimekuwa nikikuzimikia muda mrefu ila nikajipa matumaini ya mvumilivu hutafuna mbivu!Poa mjomba handsome
Kweli mjomba handsome ☺️Unajua nimekuwa nikikuzimikia muda mrefu ila nikajipa matumaini ya mvumilivu hutafuna mbivu!
Tumia akili mwanamke wa miaka 50 kumpata mwanaume wa miaka 55 kwenda juu mwenye nguvu za kutosha ni ngumu hivyo tusiwarahumu....hii ni kisayansi kabisa.Kitendo cha mwanamke kuwa mkubwa kwa mwanaume na wakaamua kuwa na mahusiano ni ajabu tu japo watu wanajaribu kunormalize aina hii ya mapenzi
Haina noma brothanks you bro😄
Hakika, nahitaji nikukabizi moyo, maini pamoja na mapupu yangu unitunzie milele.Kweli mjomba handsome
Ndio ni ajabu lakini sio kwa sababu za msingi.Kitendo cha mwanamke kuwa mkubwa kwa mwanaume na wakaamua kuwa na mahusiano ni ajabu tu japo watu wanajaribu kunormalize aina hii ya mapenzi
Mkulungwa, haina shida kabisa kula maisha.Nimezaa na mshangazi miaka 42 mimi nina miaka 22 kuna shida yeyote hapo?
Hakika, nahitaji nikukabizi moyo, maini pamoja na mapupu yangu unitunzie milele.
SikupingiNdio ni ajabu lakini sio kwa sababu za msingi.
horaaaa.
Tupilia mbali imani zako potofu.Sikupingi
Kutokuwa kwa sababu za msingi inategemea na preferences za muhusika
Binafsi umri ni sababu ya msingi sana kwenye mahusiano yangu
Too lateTupilia mbali imani zako potofu.