Thibitisha unachokisema.Meditation. Ni ushetani.
Mtu kuingia katika trance under unknown spiritual guide. Nikuwa demon posessed.
Kwa namna yule Mhindi ikuwa anatufundisha nilikuja kujua si salama.
Endeleeni yatawakuta
Hakuna stories za abunuasi kama hizo.Na hiki ndicho huwa kinaniogopesha siku zote
Maelezo yaliyotolewa na wengine ni ushahidi tosha kuwa unakuwa ktk ulimwengu mwingine. Na hiyo ndio kuwa ktk trance. Pale unapokuwa uhathiriwi na mazingira ya nje ya mawazo yako hapo uko hyponomized. Maana yake kuna kingine kimeingilia akili yako nacho ndio tunaita tuliofanya yoga spiritual guide au masters of the other worldThibitisha unachokisema.
Huu ni aina ya ujinga mnaolishana humo makanisani, kwa hiyo sio kazi yangu kuutoa . Asante na kwaheri🙏Maelezo yaliyotolewa na wengine ni ushahidi tosha kuwa unakuwa ktk ulimwengu mwingine. Na hiyo ndio kuwa ktk trance. Pale unapokuwa uhathiriwi na mazingira ya nje ya mawazo yako hapo uko hyponomized. Maana yake kuna kingine kimeingilia akili yako nacho ndio tunaita tuliofanya yoga spiritual guide au masters of the other world
a half-conscious state characterized by an absence of response to external stimuli, typically as induced by hypnosis or entered by a medium.
Ujinga nikupokea pia kitu bila uchunguzi.meditationn ni aina ya uzoefu ambao hata babu yako hakuujua. Kwa taarifa tu hiyo ni eastern practice ambayo kwa ujinga wengi mnaifanya pasipo kujua, nyumba za ibada ujinga huo hautambuliki na haulezewi.Huu ni aina ya ujinga mnaolishana humo makanisani, kwa hiyo sio kazi yangu kuutoa . Asante na kwaheri🙏
Alikuambia nan meditation ni kuondoka katika mwili ? Babu yangu unamjua? Ukiwa haukijui kitu ni bora utulize fuvu tuUjinga nikupokea pia kitu bila uchunguzi.meditationn ni aina ya uzoefu ambao hata babu yako hakuujua. Kwa taarifa tu hiyo ni eastern practice ambayo kwa ujinga wengi mnaifanya pasipo kujua, nyumba za ibada ujinga huo hautambuliki na haulezewi.
Kama unafhani unaweza kuondoka katika mwili ni ujinga mtupu. Asante . PERIOD
Still a beginner. Sina cha kuongezaAlikuambia nan meditation ni kuondoka katika mwili ni nani? Babu yangu unamjua? Ukiwa haukijui kitu ni bora utulize fuvu tu
Hauna unachokijua kuhusu uzingativu , na utulivu wa akili , mmezoea kuropa makanisani kama wehu , ndio maana Dini kama ya kiislamu inaweza kuwa dini ya watu wenye akili timamu miaka inavyozidi kwenda.Still a beginner. Sina cha kuongeza
😂😂😂😂😂 sasa si mawazo yanahamia huko?We focus on good food or mdudu Kama siafu at tandu
Why?? Ina shida gani?Acha huo mchezo. I pray for ur failure
Uislam hauwezi kufundishha uzingatifu wa aki kwa namna ya shiriki nje na Mwenyeji Mungu Peke Yake Mwenye HekimaHauna unachokijua kuhusu uzingativu , na utulivu wa akili , mmezoea kuropa makanisani kama wehu , ndio maana Dini kama ya kiislamu inaweza kuwa dini ya watu wenye akili timamu miaka inavyozidi kwenda.
Mkuu meditation haipendi mfokeane..Hauna unachokijua kuhusu uzingativu , na utulivu wa akili , mmezoea kuropa makanisani kama wehu , ndio maana Dini kama ya kiislamu inaweza kuwa dini ya watu wenye akili timamu miaka inavyozidi kwenda.
Thank you, I’ll try this.You can't stop thinking instead observe/witness them without any judgement, they will stop themselves. Kikubwa uwe ktk comfortable pose na mazingira ambayo Ni tulivu. Wengine wanatumia mbinu ya kufocus kwenye kitu kimoja mfano breathing, mwanga wa mshumaa au repeated words (mantra) n.k automatically thinking inadisappear yenyewe. Kadri ya utakavyokua unapractice utakua unaimprove. Inshort it takes time to master it.
Kwani umejifunza kuanzia chanzo gani? Tafadhali jua kwa undani before uzqme humo. Hii pracice asili yake ni Mashariki, India ,china na maeneo hayo ya Budhism au Hunduism. Hutakuta nje na hapo. Kama mi muongo utaniambia. Sikujui hunijui lkn elewa kabla ya kuzama humo. Beginners utaona just mere concetration out of external stimulus, ndio maana umesema huwezi conc kwa ajili ya kelele, mawazo yanahama, mwingine anatetema sijui mguu , ok. Whatever, lkn its dangerous. Sibishani. Its our choice and through it you will ripeWhy?? Ina shida gani?
Wewe ndio umesoma kwa sauti ya kufoka binafsi nipo kawaida tu.Mkuu meditation haipendi mfokeane..
Sio lazima meditation iwe ni kutokuwaza chochote kabisa, ingawa baadhi ya mbinu za meditation hulenga hali hiyo ya utupu wa akili. Kwa ujumla, meditation ni mazoezi ya akili ambayo yanahusisha kuleta umakini wa ndani, utulivu, na ufahamu wa sasa. Inaweza kufanyika kwa njia mbalimbali, kama hizi hapa 👇👇Ya pumzi halafu unatakiwa usiwaze chochote.
Ma jobless pro max hatu wezi meditation 😂🤣🤣@intelligent businessman
Haijawahi kuwa hata kwenye hiyo kama.Meditation ni Kama uchawi