Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Thibitisha unachokisema.
Maelezo yaliyotolewa na wengine ni ushahidi tosha kuwa unakuwa ktk ulimwengu mwingine. Na hiyo ndio kuwa ktk trance. Pale unapokuwa uhathiriwi na mazingira ya nje ya mawazo yako hapo uko hyponomized. Maana yake kuna kingine kimeingilia akili yako nacho ndio tunaita tuliofanya yoga spiritual guide au masters of the other world
a half-conscious state characterized by an absence of response to external stimuli, typically as induced by hypnosis or entered by a medium.
 
Huu ni aina ya ujinga mnaolishana humo makanisani, kwa hiyo sio kazi yangu kuutoa . Asante na kwaheri🙏
 
Huu ni aina ya ujinga mnaolishana humo makanisani, kwa hiyo sio kazi yangu kuutoa . Asante na kwaheri🙏
Ujinga nikupokea pia kitu bila uchunguzi.meditationn ni aina ya uzoefu ambao hata babu yako hakuujua. Kwa taarifa tu hiyo ni eastern practice ambayo kwa ujinga wengi mnaifanya pasipo kujua, nyumba za ibada ujinga huo hautambuliki na haulezewi.
Kama unafhani unaweza kuondoka katika mwili ni ujinga mtupu. Asante . PERIOD
 
Alikuambia nan meditation ni kuondoka katika mwili ? Babu yangu unamjua? Ukiwa haukijui kitu ni bora utulize fuvu tu
 
Hauna unachokijua kuhusu uzingativu , na utulivu wa akili , mmezoea kuropa makanisani kama wehu , ndio maana Dini kama ya kiislamu inaweza kuwa dini ya watu wenye akili timamu miaka inavyozidi kwenda.
Uislam hauwezi kufundishha uzingatifu wa aki kwa namna ya shiriki nje na Mwenyeji Mungu Peke Yake Mwenye Hekima
 
You can't stop thinking instead observe/witness them without any judgement, they will stop themselves. Kikubwa uwe ktk comfortable pose na mazingira ambayo Ni tulivu. Wengine wanatumia mbinu ya kufocus kwenye kitu kimoja mfano breathing, mwanga wa mshumaa au repeated words (mantra) n.k automatically thinking inadisappear yenyewe. Kadri ya utakavyokua unapractice utakua unaimprove. Inshort it takes time to master it.
Thank you, I’ll try this.
 
Why?? Ina shida gani?
Kwani umejifunza kuanzia chanzo gani? Tafadhali jua kwa undani before uzqme humo. Hii pracice asili yake ni Mashariki, India ,china na maeneo hayo ya Budhism au Hunduism. Hutakuta nje na hapo. Kama mi muongo utaniambia. Sikujui hunijui lkn elewa kabla ya kuzama humo. Beginners utaona just mere concetration out of external stimulus, ndio maana umesema huwezi conc kwa ajili ya kelele, mawazo yanahama, mwingine anatetema sijui mguu , ok. Whatever, lkn its dangerous. Sibishani. Its our choice and through it you will ripe
 
Ya pumzi halafu unatakiwa usiwaze chochote.
Sio lazima meditation iwe ni kutokuwaza chochote kabisa, ingawa baadhi ya mbinu za meditation hulenga hali hiyo ya utupu wa akili. Kwa ujumla, meditation ni mazoezi ya akili ambayo yanahusisha kuleta umakini wa ndani, utulivu, na ufahamu wa sasa. Inaweza kufanyika kwa njia mbalimbali, kama hizi hapa 👇👇

Kupumua kwa umakini hii ni ile hali ya Kujikita kwenye hisia za kupumua, kwa mfano, kuhesabu pumzi zako au kuhisi jinsi hewa inavyotembea ndani na nje.

Kujikumbusha kwa ufahamu kwa maana ya Mindfulness, hii ni ile hali ya kuwa na ufahamu wa kile kinachoendelea sasa, bila kuhukumu. Hii inaweza kuwa kuhisi mwili wako, mawazo yako, au mazingira yako.

Lakini pia ipo ya Kutafakari, hii ni ile hali ya kufikiria maneno, dhana, au swali fulani kwa kina (mfano: kuzingatia maneno ya busara au sala au masomo, hii ndio njia ambayo huwa naitumia kusoma).

Pia kuna hii ya kuitwa mantra, ambayo ni hali au kitendo cha kurudia neno au sauti maalum (mfano kuna neno wanalipenda sana linaitwa "Om") na lengo la hii ni kuleta mtiririko wa utulivu kwa maana kadri unavyorudia maneno unajikuta akili na hisia zako zinazamia huko.

Kwahiyo meditation ni kama unavyopanda mti ili uweze kufika kule juu ulikokukusudia basi utadandia Kila tawi ambao unaliona ni imara vya kutosha kuubeba uzito wako pasipo kuleta madhara ya kukuangusha.

Hivyo basi, lengo la meditation si lazima mtu aweze kufanikisha kile kitendo cha kutokuwaza (na hapa ndipo ambapo watu wengi wanapotea na kushindwa kumeditate kwakua wanahisi hili ndio lengo la meditation), meditation ni kitendo cha kudhibiti mawazo au kuyashuhudia kwa namna tulivu bila kuyafuata.

Meditation ni simple sana na inaweza kufanywa kwenye mazingira yoyote yale, chagua tawi ambalo unaona litakufikisha unakotaka kwenda panda nalo taratibu.

NB: Kila aina ya meditation kati ya hizo hapo juu huwa inakitu au jambo moja inaliongeza ndani yako na ndio maana kabla hujaamua kuanza kufanya meditation unatakiwa ujue ni jambo gani utataka ulifikie au umeditate kwalo, na wale ambao wanataka kuwasiliana na ulimwengu wa juu zaidi huwa hawawezi kufika kwenye hiyo hatua kama hawawezi kuifanya akili yao iwe tupu kabisa na hii hatua huwa haifikiwi na Kila mtu.
 
Back
Top Bottom