Kufanya ngono na kila mwamke anaekatiza mbele yako sio ujanja ni kujitafutia mikosi

Kufanya ngono na kila mwamke anaekatiza mbele yako sio ujanja ni kujitafutia mikosi

Umetokea wapi na wewe tena🤣🤣🤣🤣
Mishangazi ni siku za mechi tuu. Hapa nasubiria tarehe 28 pale taifa tukaburudike na mishangazi ya yanga.
Simba wametuangusha mwaka huu.
Mama j bado mnamuwinda😅😅😅😅😅😅
 
Sasa ushuhuda wa nini bwana wewe...hamnaga vitu kama hivyo kama mbususu tumekuwa tunazichakata muda tena malaya kabisaaaa na bado maisha yanaenda tuu
Ujakutana na pisi ambazo hazina Kismat
 
Sisi wabishi tutakueleza kwamba uache WIVU!
NB:Siyo kila mwanamke unayelala naye atakuwa na mikosi akuambukize/akuachie.Unaweza kukuta mimi ndiye mwenye mikosi namuachia yeye.
NB:Tukariri mathematical tables tu.Mikosi tuachie ngedere.
 
Uzuri mifano ya wazi ipo
 
sio mikos tu ata magonjwa ya akili ukiwa na mapepo 50 ya aina tofauti kichwani kweli utakuwa timamu
Na je katika wanawake 50 watakosekana Ata watano wenye mapepo kumi kumi yakushambulie kichwa😂
 
Hapa Dar es salaam gharama za kukutana na demu moja japo mara moja kwa siku kwenye guest, hiya hapa.

Guest house sh. 20,000.
Ngao. 1000
Usafiri wa bajaji 7000.
Chakula na vijwaji. 12000
Pesa ya kumuaga demu 10,000.

Jumla. 50,000.

Kwa mwezi kama unakutana nae mara 4. Hiyo ni 200,000 hiyo hapo hamna miziga mingine. Ukiwa na demu watatu ni 600,000 kwa mwezi

Sasa niambie we mtumishi mwenye mshahara 800,0000 utatoboa je kwa ngono kama hizo? Kwasabb unabakiza 200000 kwenye mshahara wako.
True Uzinzi Ni gharama[emoji26]
 
Hii kitu imenikuta Kama Mara kadhaa kwa fundi cherehani,Kipind hicho sijajua km anajiuza.

Yaan Nishapata ajali mbili mbaya sn,zote nmetoka kukutana nae.

Achilia mbali breakdown Kama 4 hivi kila nikiazima chombo ya mtu ili nikaonane nae.

Mambo mengn sijawai fatilia
 
Back
Top Bottom