Kufanya scrub kuna shida yoyote kiafya?

Hapo kwa wafilipino ndo mwake haswaa. Ask for a deep tissue massage ama hot stone massage. Usisahau ku-bargain eeh (anzia nusu ya bei ya menu hehehe, mjini hapa)

kwa maznat there is a nice massage room, clean with a bathroom. Yule mdada very proffessional i hope hatokubaka, lol. Na akimaliza massage anakuzimia taa kabisa ulale kama nusu saa hivi. Tatizo lake hana mziki ila utulivu ni mzuri pia
Japo mimi sio mtu wa scrub ila nafanya dana massage, hivyo kwa hap Wafilipino, nikakwenda kwa hilo. Maznat sio kwa wadada tuu na haswa maharusi?!.
P.
 
Hehe hapo kwenye 'zote' hapooo!
well, kuna wanaume pia lakini ni choice ya mteja. Halafu kuna gays, no further questions will be taken. I submit.
Scrub zote na massage zote hufanywa na wadada!. Kama unatumia massage, nenda Girraffe kuna wadada Wachina, wanafanya massage "zote!" ikiwemo reiki, thai, prostate, sensual etc, wewe tuu!.
P.
 
But you people, massage mkijifunza tu mnaweza kufanyiana nyumbani na mwenza wako (scrub ndo inaboa kuchafuka). Tena ni bonge la pre-amble. Easiest way to learn ni kwenda kufanyiwa massage once na kuobserve. Unaweza kusoma mtandaoni pia.
 
Hehe hapo kwenye 'zote' hapooo!
well, kuna wanaume pia lakini ni choice ya mteja. Halafu kuna gays, no further questions will be taken. I submit.

Mmmh! Shikamoo King'asti!
 
Sea salt ni nzuri kwa mtu mwenye oily skin. Inauma kiasi zaidi kuliko ile nyingine ila matokeo hutaamini. Unakuwa kama mtoto teh teh

Ngozi yangu ina mawese sana, hyo sea salt naweza kuipata wapi?
 
Unavyoisifia utadhani ni yako

Hadi nimetamani mweee

Nisivyopenda shida mimi
 
Scrub zote na massage zote hufanywa na wadada!. Kama unatumia massage, nenda Girraffe kuna wadada Wachina, wanafanya massage "zote!" ikiwemo reiki, thai, prostate, sensual etc, wewe tuu!.
P.

Huko Giraffe ndo wapi mkuu?
 
Hehe hapo kwenye 'zote' hapooo!
well, kuna wanaume pia lakini ni choice ya mteja. Halafu kuna gays, no further questions will be taken. I submit.
Walipoanza mwanzo walikuwa only professional massage only, wakakuta mijibaba mini, intake professional massage a "more!", na kawarealize ile "more" pays more!, hivyo wakaamua pia kuitumia!.

Ukienda pale if you want massage and more!, kwanza utalipia room yako mwenyewe hapo hotelini, kisha utalipia full body massage halo ofisini kwao, kisha huko chumbani utalipia "more" kwa kadri ya huduma!.

Wakajikuta baadhi ya mibaba kumbe wala shida yao sio massage bali nile "more!", then wamejikuta wanapata faida kubwa zaidi kwa ile "more!" kuliko hata massage, kwa sababu ili kupata mote, lazima kwanza ulipie massage, na ukifika huko massage ndio kazi kubwa kuliko "more!".

Kiendo cha massage kuwa ni biashara halali, sasa kila mahali matangazo ya "massage!" yametapakaa, na ukifika ni kweli utafanyiwa "massage and more!" ila kiukweli biashara kubwa zaidi sio massage, ni ile "more!".

Ndio maana niliwahi kusisitiza humu, [h=3]Opinion: Is It Not, Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Professional?!.[/h]
Pasco
 
Huko Giraffe ndo wapi mkuu?
Ni moja ya beach hotel kwenye ule ukanda wa ma beach hotels ilipo Belinda, Beachcomber, White Sands, Land Mark na hotel nyingine kadhaa uwanda huo!. Enzi za Mwalimu eneo lots lilikuwa hifadhi ya Bahari, alipokuja mzee wa Ruksa, akaruhusu!.
 
Attachments

  • front-view-1500x470.jpg
    430.1 KB · Views: 162
  • giraffehotelBack-1500x470.jpg
    134.8 KB · Views: 161
Dah Pasco umenikumbusha maana nimeplan kufungua ofisi kwa ajili ya massage tu, ss cjui inabidi niweke na vyumba vya kutosha maana daa!
 
Ni moja ya beach hotel kwenye ule ukanda wa ma beach hotels ilipo Belinda, Beachcomber, White Sands, Land Mark na hotel nyingine kadhaa uwanda huo!. Enzi za Mwalimu eneo lots lilikuwa hifadhi ya Bahari, alipokuja mzee wa Ruksa, akaruhusu!.

Gharama mkuu? Ya hizo masage?
 
Dah Pasco umenikumbusha maana nimeplan kufungua ofisi kwa ajili ya massage tu, ss cjui inabidi niweke na vyumba vya kutosha maana daa!
Inategemea eneo, wadada na huduma, ukifungulia eneo la Manzese tegemea utapata wale wateja wa jelo jelo au buku buku!. Ukifungulia eneo la watu wenye nazo!, na ukaweka wadada wanaolipa!, haswa wanapovaa zile uniforms za massage (thin skin tight! na shot tops) sijui wanaambizana!, then tegemea kuvuna haswa!!.

Huwezi amini kile kile kitanda cha massage cha futi 2.3 kinatoshaga kwa massage na mengine yote!.
Kwa kawaida huduma ya ziada huja baada ya normal massage!, hata kama ulikuwa huna mpango huo!, mikono itaelekezwa huko huko na ukiendelea kukausha mwisho utaulizwa!, ukigoma utanote frustration look usoni mwao!. Wengine tunakwenda massage kutokana na sababu maalum ambazo lazima tuende tena lengo likiwa ni massage tuu, nothing more, nothing less!.

Massage ya BM saloon ni massage tuu!.

Pasco
 
Gharama mkuu? Ya hizo masage?
Wanazo aina nyingi kama ACUPRESSURE

AROMATHERAPY
AYURVEDA
BOWEN TECHNIQUE
BREAST MASSAGE
CHAIR MASSAGE
CRANIOSACRAL THERAPY
DEEP TISSUE
EFFLEURAGE
HEALING TOUCH

LIFESTREAM MASSAGE
HAWAIIAN LOMI LOMI MASSAGE
HOT STONE MASSAGE / STONE SPIRITS
LYMPH DRAINAGE MASSAGE,
LYMPHATIC MASSAGE
MEDICAL RX MASSAGE

MYOFASCIAL RELEASE THERAPY
NEUROMUSCULAR THERAPY
PETRISSAGE
POLARITY THERAPY
RAINDROP THERAPY
REFLEXOLOGY
REIKIROLFING / STRUCTURAL INTEGRATION
SHIATSU
SPORTS MASSAGE
SWEDISH MASSAGE
THAI MASSAGE
TAPOTEMENT
TRIGGER POINT

Bei zinaanzia US $ 100 kwa nusu saa, hadi US $ 500 ambayo ni combination kwa masaa 4!.

Pasco
 
But you people, massage mkijifunza tu mnaweza kufanyiana nyumbani na mwenza wako (scrub ndo inaboa kuchafuka). Tena ni bonge la pre-amble. Easiest way to learn ni kwenda kufanyiwa massage once na kuobserve. Unaweza kusoma mtandaoni pia.

Kweli. 10 min youtube ushajua basics.
 
Nimeusave huu uzi kwa reference zaidi

Asante Pasco
 
Kiongozi ubarikiwe sana, nikiwa tayari nitakutafuta mkuu nataka nijaribu maeneo ya kigamboni sijui km italipa, najaribu kuifikiria gharama ya kuanzishia sijajua inaweza ikawa kiasi gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…