The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
nitakutafuta aisee
I thought we ni kidume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitakutafuta aisee
sea salt scrub? mh.....funguka kingasti
wapo na Wafilipino madada?
Japo mimi sio mtu wa scrub ila nafanya dana massage, hivyo kwa hap Wafilipino, nikakwenda kwa hilo. Maznat sio kwa wadada tuu na haswa maharusi?!.
P.
Scrub zote na massage zote hufanywa na wadada!. Kama unatumia massage, nenda Girraffe kuna wadada Wachina, wanafanya massage "zote!" ikiwemo reiki, thai, prostate, sensual etc, wewe tuu!.
P.
Hehe hapo kwenye 'zote' hapooo!
well, kuna wanaume pia lakini ni choice ya mteja. Halafu kuna gays, no further questions will be taken. I submit.
Sea salt ni nzuri kwa mtu mwenye oily skin. Inauma kiasi zaidi kuliko ile nyingine ila matokeo hutaamini. Unakuwa kama mtoto teh teh
Hapo kwa wafilipino ndo mwake haswaa. Ask for a deep tissue massage ama hot stone massage. Usisahau ku-bargain eeh (anzia nusu ya bei ya menu hehehe, mjini hapa)
kwa maznat there is a nice massage room, clean with a bathroom. Yule mdada very proffessional i hope hatokubaka, lol. Na akimaliza massage anakuzimia taa kabisa ulale kama nusu saa hivi. Tatizo lake hana mziki ila utulivu ni mzuri pia
Scrub zote na massage zote hufanywa na wadada!. Kama unatumia massage, nenda Girraffe kuna wadada Wachina, wanafanya massage "zote!" ikiwemo reiki, thai, prostate, sensual etc, wewe tuu!.
P.
Walipoanza mwanzo walikuwa only professional massage only, wakakuta mijibaba mini, intake professional massage a "more!", na kawarealize ile "more" pays more!, hivyo wakaamua pia kuitumia!.Hehe hapo kwenye 'zote' hapooo!
well, kuna wanaume pia lakini ni choice ya mteja. Halafu kuna gays, no further questions will be taken. I submit.
Ni moja ya beach hotel kwenye ule ukanda wa ma beach hotels ilipo Belinda, Beachcomber, White Sands, Land Mark na hotel nyingine kadhaa uwanda huo!. Enzi za Mwalimu eneo lots lilikuwa hifadhi ya Bahari, alipokuja mzee wa Ruksa, akaruhusu!.Huko Giraffe ndo wapi mkuu?
Ni moja ya beach hotel kwenye ule ukanda wa ma beach hotels ilipo Belinda, Beachcomber, White Sands, Land Mark na hotel nyingine kadhaa uwanda huo!. Enzi za Mwalimu eneo lots lilikuwa hifadhi ya Bahari, alipokuja mzee wa Ruksa, akaruhusu!.
Inategemea eneo, wadada na huduma, ukifungulia eneo la Manzese tegemea utapata wale wateja wa jelo jelo au buku buku!. Ukifungulia eneo la watu wenye nazo!, na ukaweka wadada wanaolipa!, haswa wanapovaa zile uniforms za massage (thin skin tight! na shot tops) sijui wanaambizana!, then tegemea kuvuna haswa!!.Dah Pasco umenikumbusha maana nimeplan kufungua ofisi kwa ajili ya massage tu, ss cjui inabidi niweke na vyumba vya kutosha maana daa!
Wanazo aina nyingi kama ACUPRESSUREGharama mkuu? Ya hizo masage?
But you people, massage mkijifunza tu mnaweza kufanyiana nyumbani na mwenza wako (scrub ndo inaboa kuchafuka). Tena ni bonge la pre-amble. Easiest way to learn ni kwenda kufanyiwa massage once na kuobserve. Unaweza kusoma mtandaoni pia.
Wanazo aina nyingi kama ACUPRESSURE
AROMATHERAPY
AYURVEDA
BOWEN TECHNIQUE
BREAST MASSAGE
CHAIR MASSAGE
CRANIOSACRAL THERAPY
DEEP TISSUE
EFFLEURAGE
HEALING TOUCH
LIFESTREAM MASSAGE
HAWAIIAN LOMI LOMI MASSAGE
HOT STONE MASSAGE / STONE SPIRITS
LYMPH DRAINAGE MASSAGE,
LYMPHATIC MASSAGE
MEDICAL RX MASSAGE
MYOFASCIAL RELEASE THERAPY
NEUROMUSCULAR THERAPY
PETRISSAGE
POLARITY THERAPY
RAINDROP THERAPY
REFLEXOLOGY
REIKIROLFING / STRUCTURAL INTEGRATION
SHIATSU
SPORTS MASSAGE
SWEDISH MASSAGE
THAI MASSAGE
TAPOTEMENT
TRIGGER POINT
Bei zinaanzia US $ 100 kwa nusu saa, hadi US $ 500 ambayo ni combination kwa masaa 4!.
Pasco
Inategemea eneo, wadada na huduma, ukifungulia eneo la Manzese tegemea utapata wale wateja wa jelo jelo au buku buku!. Ukifungulia eneo la watu wenye nazo!, na ukaweka wadada wanaolipa!, haswa wanapovaa zile uniforms za massage (thin skin tight! na shot tops) sijui wanaambizana!, then tegemea kuvuna haswa!!.
Huwezi amini kile kile kitanda cha massage cha futi 2.3 kinatoshaga kwa massage na mengine yote!.
Kwa kawaida huduma ya ziada huja baada ya normal massage!, hata kama ulikuwa huna mpango huo!, mikono itaelekezwa huko huko na ukiendelea kukausha mwisho utaulizwa!, ukigoma utanote frustration look usoni mwao!. Wengine tunakwenda massage kutokana na sababu maalum ambazo lazima tuende tena lengo likiwa ni massage tuu, nothing more, nothing less!.
Massage ya BM saloon ni massage tuu!.
Pasco
unamanisha nn?