Kufanya scrub kuna shida yoyote kiafya?

Amahoro yawe...mm si mtumiaji ila nina imani kwamba hazina ubaya, ila uwe makini na brand unay tumia
 
Dooh, wakati shoppers pale unaanzia $60 kwa saa (bargaining to $40).
#bestdealintown

ila wana choices nyingi pia.

Pasco, unajua massage ya kuondoa weight? Nikiwa undergraduate room mate wangu alikuwa anaiongelea. Manake uzee unakuja kwa kasi!
 
Last edited by a moderator:

Uzee haukwepeki
 
Last edited by a moderator:
But you people, massage mkijifunza tu mnaweza kufanyiana nyumbani na mwenza wako (scrub ndo inaboa kuchafuka). Tena ni bonge la pre-amble. Easiest way to learn ni kwenda kufanyiwa massage once na kuobserve. Unaweza kusoma mtandaoni pia.

ninapenda sana ingewezekana hii ya nyumbani
 
Ni moja ya beach hotel kwenye ule ukanda wa ma beach hotels ilipo Belinda, Beachcomber, White Sands, Land Mark na hotel nyingine kadhaa uwanda huo!. Enzi za Mwalimu eneo lots lilikuwa hifadhi ya Bahari, alipokuja mzee wa Ruksa, akaruhusu!.

kuna habari ya mujini juu ya hii
 
Kuna unga flani unatokana na mti unaitwa liwa wachanganya na maji wapakaa usoni alafu waosha

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
asantem unapatikana wapi Tanga?
 
aiseeeeeee
 
mi nikazani scrub hufanyiwa mademu na mashoga,kumbe mpaka masela?

Hahahahahaaaa!
Kumbe siko peke yangu!

Go figure! Maana hata mimi sielewi kabisa eti straight man kwenda kufanyiwa scrub au sijui ndo facial hiyo?

No bueno!

Lakini naona kwa bongo hiyo inakubalika (kwa straight men kufanyiwa hivyo). Ila huko duniani kwingine, bado kabisa.

Ni gays ndo hujihusisha na mambo hayo.
 
tupe source NN
 
NN tutake radhi tunaofanya scrub sbb si wote ambao ni makameruni
 
Yawezekana zinasababisha kulegea kwa mashavu na hivyo
kumfanya mfanyiwaji kuonekana kana kwamba ni mzee.

Labda wataalamu watujuze ni kwa namna gani wanaweza
kuwafanyia watu pasipo kuathili ulegevu wa taya/mashavu.
 
fuatilia vizuri huu uzi kuna udadavuzi wa kina na vina lakn iili usilegee wanashauri utumie za kienyeji na si zile zenye vipele
Yawezekana zinasababisha kulegea kwa mashavu na hivyo
kumfanya mfanyiwaji kuonekana kana kwamba ni mzee.

Labda wataalamu watujuze ni kwa namna gani wanaweza
kuwafanyia watu pasipo kuathili ulegevu wa taya/mashavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…