Kufanya scrub kuna shida yoyote kiafya?

Kufanya scrub kuna shida yoyote kiafya?

Amahoro yawe...mm si mtumiaji ila nina imani kwamba hazina ubaya, ila uwe makini na brand unay tumia
 
Dooh, wakati shoppers pale unaanzia $60 kwa saa (bargaining to $40).
#bestdealintown

ila wana choices nyingi pia.

Pasco, unajua massage ya kuondoa weight? Nikiwa undergraduate room mate wangu alikuwa anaiongelea. Manake uzee unakuja kwa kasi!
Wanazo aina nyingi kama ACUPRESSURE

AROMATHERAPY
AYURVEDA
BOWEN TECHNIQUE
BREAST MASSAGE
CHAIR MASSAGE
CRANIOSACRAL THERAPY
DEEP TISSUE
EFFLEURAGE
HEALING TOUCH

LIFESTREAM MASSAGE
HAWAIIAN LOMI LOMI MASSAGE
HOT STONE MASSAGE / STONE SPIRITS
LYMPH DRAINAGE MASSAGE,
LYMPHATIC MASSAGE
MEDICAL RX MASSAGE

MYOFASCIAL RELEASE THERAPY
NEUROMUSCULAR THERAPY
PETRISSAGE
POLARITY THERAPY
RAINDROP THERAPY
REFLEXOLOGY
REIKIROLFING / STRUCTURAL INTEGRATION
SHIATSU
SPORTS MASSAGE
SWEDISH MASSAGE
THAI MASSAGE
TAPOTEMENT
TRIGGER POINT

Bei zinaanzia US $ 100 kwa nusu saa, hadi US $ 500 ambayo ni combination kwa masaa 4!.

Pasco
 
Last edited by a moderator:
Dooh, wakati shoppers pale unaanzia $60 kwa saa (bargaining to $40).
#bestdealintown

ila wana choices nyingi pia.

Pasco, unajua massage ya kuondoa weight? Nikiwa undergraduate room mate wangu alikuwa anaiongelea. Manake uzee unakuja kwa kasi!

Uzee haukwepeki
 
Last edited by a moderator:
But you people, massage mkijifunza tu mnaweza kufanyiana nyumbani na mwenza wako (scrub ndo inaboa kuchafuka). Tena ni bonge la pre-amble. Easiest way to learn ni kwenda kufanyiwa massage once na kuobserve. Unaweza kusoma mtandaoni pia.

ninapenda sana ingewezekana hii ya nyumbani
 
Ni moja ya beach hotel kwenye ule ukanda wa ma beach hotels ilipo Belinda, Beachcomber, White Sands, Land Mark na hotel nyingine kadhaa uwanda huo!. Enzi za Mwalimu eneo lots lilikuwa hifadhi ya Bahari, alipokuja mzee wa Ruksa, akaruhusu!.

kuna habari ya mujini juu ya hii
 
Kuna unga flani unatokana na mti unaitwa liwa wachanganya na maji wapakaa usoni alafu waosha

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
asantem unapatikana wapi Tanga?
 
aiseeeeeee
Walipoanza mwanzo walikuwa only professional massage only, wakakuta mijibaba mini, intake professional massage a "more!", na kawarealize ile "more" pays more!, hivyo wakaamua pia kuitumia!.

Ukienda pale if you want massage and more!, kwanza utalipia room yako mwenyewe hapo hotelini, kisha utalipia full body massage halo ofisini kwao, kisha huko chumbani utalipia "more" kwa kadri ya huduma!.

Wakajikuta baadhi ya mibaba kumbe wala shida yao sio massage bali nile "more!", then wamejikuta wanapata faida kubwa zaidi kwa ile "more!" kuliko hata massage, kwa sababu ili kupata mote, lazima kwanza ulipie massage, na ukifika huko massage ndio kazi kubwa kuliko "more!".

Kiendo cha massage kuwa ni biashara halali, sasa kila mahali matangazo ya "massage!" yametapakaa, na ukifika ni kweli utafanyiwa "massage and more!" ila kiukweli biashara kubwa zaidi sio massage, ni ile "more!".

Ndio maana niliwahi kusisitiza humu, Opinion: Is It Not, Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Professional?!.


Pasco
 
Kweli haya mambo ni mambo ya cultural differences.

Huko kwingine wanaume kuzungumzia tu mambo ya kufanyiwa scrub tayari utaitwa gay.

Na kusema ukweli kukuta mwanaume anafanyiwa scrub (mara yangu ya kwanza kusikia wanaume wanafanyiwa hivyo ni Tanzania) ni adimu. Na kama akiwepo basi ni gay.

Kwa hiyo bongo wanaume kufanyiwa hayo mambo ndo fasheni au ndo mambo ya status hayo?

mi nikazani scrub hufanyiwa mademu na mashoga,kumbe mpaka masela?

Hahahahahaaaa!
Kumbe siko peke yangu!

Go figure! Maana hata mimi sielewi kabisa eti straight man kwenda kufanyiwa scrub au sijui ndo facial hiyo?

No bueno!

Lakini naona kwa bongo hiyo inakubalika (kwa straight men kufanyiwa hivyo). Ila huko duniani kwingine, bado kabisa.

Ni gays ndo hujihusisha na mambo hayo.
 
tupe source NN
Go figure! Maana hata mimi sielewi kabisa eti straight man kwenda kufanyiwa scrub au sijui ndo facial hiyo?

No bueno!

Lakini naona kwa bongo hiyo inakubalika (kwa straight men kufanyiwa hivyo). Ila huko duniani kwingine, bado kabisa.

Ni gays ndo hujihusisha na mambo hayo.

 
NN tutake radhi tunaofanya scrub sbb si wote ambao ni makameruni
 
Yawezekana zinasababisha kulegea kwa mashavu na hivyo
kumfanya mfanyiwaji kuonekana kana kwamba ni mzee.

Labda wataalamu watujuze ni kwa namna gani wanaweza
kuwafanyia watu pasipo kuathili ulegevu wa taya/mashavu.
 
fuatilia vizuri huu uzi kuna udadavuzi wa kina na vina lakn iili usilegee wanashauri utumie za kienyeji na si zile zenye vipele
Yawezekana zinasababisha kulegea kwa mashavu na hivyo
kumfanya mfanyiwaji kuonekana kana kwamba ni mzee.

Labda wataalamu watujuze ni kwa namna gani wanaweza
kuwafanyia watu pasipo kuathili ulegevu wa taya/mashavu.
 
Back
Top Bottom