Kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa ni dhambi?

Kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa ni dhambi?

Ukifanya ngono na mtu kabla ya ndoa mnaungisha nafsi na nafsi zikiungana uingia upofu wa mapenzi. Wengi wanashindwa kuyaona mapungufu ya mtu sababu ya upofu wa ngono, mnapokuja talikiana kwa kushindwana tabia pale huwa nyege au mzuka huwa zimeisha thus unayaona mapungufu baada ya pazia la upofu kutoweka, ndo hapo mtu ujuta kwamba hivi niliingia ndoa na huyu, waliniambia nikapuuza nk tabia ni zilezile sema ukuziona sababu ulikuwa kipofu. Ukitaka kuoana na mtu usifanye nae ngono mfanye awe rafiki utazijua tabia zake. Ndoa sio lelemama au legeza mwendo, ndoa ni msalaba kama umelamba jokel au garasa ni lako hilo, na ndoa ndio uamua hatma ya maisha yako.
Mitambo unaweza test mwishoni baada ya kuridhika na tabia zake Ili usiuziwe shemales, au mbuzi.
 
Kwa mujibu wa dini ya uislamu dhambi ya uzinzi ina uzito mkubwa kuliko hata dhambi ya kuuwa sijajua kwa upande wa pili.

Na msiikaribie zinaa maana zinaa ni uchafu.
 
Kwa mujibu wa dini ya uislamu dhambi ya uzinzi ina uzito mkubwa kuliko hata dhambi ya kuuwa sijajua kwa upande wa pili.

Na msiikaribie zinaa maana zinaa ni uchafu.
Dini za wavaa makobazi tabu sana

Yaani kutoa roho ya mtu ni kitu kidogo tofauti na kugegedana?

No wonder al shabab na wenzenu ni kawaida kujilipua
 
Kwa mujibu wa dini ya uislamu dhambi ya uzinzi ina uzito mkubwa kuliko hata dhambi ya kuuwa sijajua kwa upande wa pili.

Na msiikaribie zinaa maana zinaa ni uchafu.
Na kwanini waliipa uzito mkubwa?
 
Dini za wavaa makobazi tabu sana

Yaani kutoa roho ya mtu ni kitu kidogo tofauti na kugegedana?

No wonder al shabab na wenzenu ni kawaida kujilipua
Sijaja hapa kukashifiana na ww wala sija kulazimisha uamini kwa hiyo kuwa na akili na heshima.

Kuna sehemu nimesema kuuwa ni kitu kidogo?
Ww endelea kugegedana hakuna aliye kukataza.
 
Back
Top Bottom