Ukifanya ngono na mtu kabla ya ndoa mnaungisha nafsi na nafsi zikiungana uingia upofu wa mapenzi. Wengi wanashindwa kuyaona mapungufu ya mtu sababu ya upofu wa ngono, mnapokuja talikiana kwa kushindwana tabia pale huwa nyege au mzuka huwa zimeisha thus unayaona mapungufu baada ya pazia la upofu kutoweka, ndo hapo mtu ujuta kwamba hivi niliingia ndoa na huyu, waliniambia nikapuuza nk tabia ni zilezile sema ukuziona sababu ulikuwa kipofu. Ukitaka kuoana na mtu usifanye nae ngono mfanye awe rafiki utazijua tabia zake. Ndoa sio lelemama au legeza mwendo, ndoa ni msalaba kama umelamba jokel au garasa ni lako hilo, na ndoa ndio uamua hatma ya maisha yako.
Mitambo unaweza test mwishoni baada ya kuridhika na tabia zake Ili usiuziwe shemales, au mbuzi.