Kufanya vitu hivi kwa mwanamke wako lazima akudharau

1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo

NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
Hapo nachoweza msaidia labda kuogesha mtoto na kumsaidia kupika ILA kudeki, kuosha vyombo na KUFUA NGUO ZAKE ZA NDANI katu abadan siwezi

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Ndo tabu ya kukimbia ilmu yetu ungepata aya hii kidogo mwanamke hakusumbui
1000315941.jpg

Zingatia hiyo cha chini hapo🤣🤣
 
Sio kweli vipi mwanetu ,kwani umeshavuta jiko tena ?

Hawa viumbe hawaeleweki ndiyo maana Mimi napendeleaga nikiwa kwenye huo utumbo sijui mahusiano niwe najifulia tunguo twangu ,kuhusu kula ni migahawani nyumbani nifanye addition asijehisi siwezi ishi bila yeye
Sijavuta mkuu ila sifikiri kama inaweza kuwa sababu
 
1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo

NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
Kumbuka mwanamke ni binadamu kama ulivyo wewe, kama ni kuchoka naye anachoka pia, ni vyema kutanguliza upendo na kusaidiana. Mwanamke akiamua kukudharau anaweza kufanya hivyo wakati wowote na bila ya wewe kufahamu sababu ni kitu gani .
 
1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo

NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
Mke wangu hata kama anaumwa hajawahi kuniruhusu ingawa sometime huwa naona nifanye mwenyewe.

Bora aite jirani atamlipa lakini hajawahi kuniruhusu kabisa. Na yuko serious wala sio masihara.
 
Sio kweli vipi mwanetu ,kwani umeshavuta jiko tena ?

Hawa viumbe hawaeleweki ndiyo maana Mimi napendeleaga nikiwa kwenye huo utumbo sijui mahusiano niwe najifulia tunguo twangu ,kuhusu kula ni migahawani nyumbani nifanye addition asijehisi siwezi ishi bila yeye
Duh
 
Pole mwanetu naona ulishawakatia tamaa😅
 
Back
Top Bottom