Kufanya vitu hivi kwa mwanamke wako lazima akudharau

Kufanya vitu hivi kwa mwanamke wako lazima akudharau

1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo

NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
Labda usukumani, hayo ndio mambo ya kufanywa namwanaume anayemjali na kumpenda mkewe.
 
Dharau ni asili ya mtu, na usithubutu kumdharau mwanaume wa sasa, akhera itakuwa karibu kwa mwanamke na jela itakuwa karibu kwa mwanaume
 
1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo

NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
Tatizo ukijidai kuvifanya hivo, mwanamke atataka muwekeane zamu kabisa
 
1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo

NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
Ukifanya hayo halafu akakudharau anaonesha alivyokosa shukrani na kukosa utu tu.Sasa hizo ni kazi za ajabu kwani?
 
Yaani ukiosha vyombo huo ndio upendo kwake? Au ndio hatokudharau? Wewe utaosha vyombo mwenzako anamnunulia kyupi na hiyo kyupi na wewe unafua ili kuongeza upendo!! Na kwa mwanaume anayefanya hivyo vyote ulivyovita hapo juu kwa hali yoyote ile atakuwa homoni nyingi za kike, si kawaida mwanaume kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom