Kufanya vitu hivi kwa mwanamke wako lazima akudharau

1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo

NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
Hapo nachoweza msaidia labda kuogesha mtoto na kumsaidia kupika ILA kudeki, kuosha vyombo na KUFUA NGUO ZAKE ZA NDANI katu abadan siwezi

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Sijavuta mkuu ila sifikiri kama inaweza kuwa sababu
 
1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo

NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
Kumbuka mwanamke ni binadamu kama ulivyo wewe, kama ni kuchoka naye anachoka pia, ni vyema kutanguliza upendo na kusaidiana. Mwanamke akiamua kukudharau anaweza kufanya hivyo wakati wowote na bila ya wewe kufahamu sababu ni kitu gani .
 
1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo

NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
Mke wangu hata kama anaumwa hajawahi kuniruhusu ingawa sometime huwa naona nifanye mwenyewe.

Bora aite jirani atamlipa lakini hajawahi kuniruhusu kabisa. Na yuko serious wala sio masihara.
 
Duh
 
1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo

NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
Labda kama huna hela.
 
Pole mwanetu naona ulishawakatia tamaa๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ