Labda usukumani, hayo ndio mambo ya kufanywa namwanaume anayemjali na kumpenda mkewe.1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo
NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
Spana fupi ila imepenya 🤣🤣Mbona hamfanyi yote hayo na bado mnadharauliwa?
Mpende mkeo.
Hawa sio kakaPole mwanetu naona ulishawakatia tamaa😅
Tatizo ukijidai kuvifanya hivo, mwanamke atataka muwekeane zamu kabisa1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo
NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
Ukifanya hayo halafu akakudharau anaonesha alivyokosa shukrani na kukosa utu tu.Sasa hizo ni kazi za ajabu kwani?1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo
NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious