Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DSEO ndio nani? au ndio nini?Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza.
Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni huwa hawapewi ruhusa kwa kudhaniwa kuwa wanakwenda zurura.
Hii hata mimi ilinitokea kwa mwanangu last year; alipozidiwa ndipo wakampeleka Hosp yao ya Al ijumaa, tena jirani kabisa na shule nami nikapigiwa simu mida mibovu ilinibidi kufika hosp na kulala na tiba hakupata kwa wakati, wanadai bima nikawaambia anayo hawakunielewa nikahamisha mtt kwenda hospitali nyingine asubuhi yake.
Juzi mtoto wa F4 kafariki kizembe kwa kunyimwa ruhusa na mkuu wa shule Madam Opiyo mpaka kijana akazidiwa kumpeleka hosp ikawa too late leo amezikwa kwao Jijini Mwanza.
Nitoe rai kwa Mzee Magongo, kamati ya shule, bodi ya shule kufanya tathmini mapema Sana Opiyo & others watatuulia wanetu shule siyo jela na kutupandishia ada bila taarifa mkome mnaanza utapeli,
Nina hasira zangu na msiba wa mwanafunzi mniache.
CC Mkuu wa Wilaya Nyamagana
DSEO Nyamagana
KUU Nyamagana
RC Mwanza aione kwa jalada
District Sec Educ OfficerDSEO ndio nani? au ndio nini?
SawaDistrict Sec Educ Officer
Shule nzuri ni zipi mkuu? Na uovyo wake nini? Hapo shule ndo ya ovyo au mkuu wa shule?Na wewe ukome kupeleka mtoto shule za hovyo hovyo.
Kumbe!!Kwaiyo tatizo Ni uyo mtoto kufariki au
Tatizo Ni wewe mzazi kupandishiwa ada?
Elimu skuhizi mbona Ni bure mkuu[emoji4]
Hamisheni watoto na Madam Opiyo watamfukuza automatically, Mbona hapo Mwanza kuna shule nyingi tu.Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza.
Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni huwa hawapewi ruhusa kwa kudhaniwa kuwa wanakwenda zurura.
Hii hata mimi ilinitokea kwa mwanangu last year; alipozidiwa ndipo wakampeleka Hosp yao ya Al ijumaa, tena jirani kabisa na shule nami nikapigiwa simu mida mibovu ilinibidi kufika hosp na kulala na tiba hakupata kwa wakati, wanadai bima nikawaambia anayo hawakunielewa nikahamisha mtt kwenda hospitali nyingine asubuhi yake.
Juzi mtoto wa F4 kafariki kizembe kwa kunyimwa ruhusa na mkuu wa shule Madam Opiyo mpaka kijana akazidiwa kumpeleka hosp ikawa too late leo amezikwa kwao Jijini Mwanza.
Nitoe rai kwa Mzee Magongo, kamati ya shule, bodi ya shule kufanya tathmini mapema Sana Opiyo & others watatuulia wanetu shule siyo jela na kutupandishia ada bila taarifa mkome mnaanza utapeli,
Nina hasira zangu na msiba wa mwanafunzi mniache.
CC Mkuu wa Wilaya Nyamagana
DSEO Nyamagana
KUU Nyamagana
RC Mwanza aione kwa jalada
duuuu Sio Kwa povu hiliiii haya tuwekee picha yake tujiridhishe!Huyo Opiyo huwa ni mshenzi sana,huwa anajiona anajua sana professional ya ualimu kumbe hamna kitu,sina hakika kama amesomea fani ya ualimu,anamaamuz ya kijinga sana,walimu wote wa pale wanamwogopa utazani Mungu mtu,limama jenyewe leusiiiiiii tiiii!
MuhamisheMwaka huu mwisho nahamisha wanangu
District Secondary Education OfficerDSEO ndio nani? au ndio nini?
Pole sanaa mzazi.....ila hata hospitali wagonjwa wana kufa tu kifo kipo popote af kuna wengine hawaendi hospitali wana pona hiyo ilikua kundra ya Mungu.Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza.
Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni huwa hawapewi ruhusa kwa kudhaniwa kuwa wanakwenda zurura.
Hii hata mimi ilinitokea kwa mwanangu last year; alipozidiwa ndipo wakampeleka Hosp yao ya Al ijumaa, tena jirani kabisa na shule nami nikapigiwa simu mida mibovu ilinibidi kufika hosp na kulala na tiba hakupata kwa wakati, wanadai bima nikawaambia anayo hawakunielewa nikahamisha mtt kwenda hospitali nyingine asubuhi yake.
Juzi mtoto wa F4 kafariki kizembe kwa kunyimwa ruhusa na mkuu wa shule Madam Opiyo mpaka kijana akazidiwa kumpeleka hosp ikawa too late leo amezikwa kwao Jijini Mwanza.
Nitoe rai kwa Mzee Magongo, kamati ya shule, bodi ya shule kufanya tathmini mapema Sana Opiyo & others watatuulia wanetu shule siyo jela na kutupandishia ada bila taarifa mkome mnaanza utapeli,
Nina hasira zangu na msiba wa mwanafunzi mniache.
CC Mkuu wa Wilaya Nyamagana
DSEO Nyamagana
KUU Nyamagana
RC Mwanza aione kwa jalada
Shule nyingi za kiisilamu haziko kwenye viwango vya uendeshaji, unajua Morogoro kuna chuo kikuu kinachomilikiwa na BAKWATA!Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza.
Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni huwa hawapewi ruhusa kwa kudhaniwa kuwa wanakwenda zurura.
Hii hata mimi ilinitokea kwa mwanangu last year; alipozidiwa ndipo wakampeleka Hosp yao ya Al ijumaa, tena jirani kabisa na shule nami nikapigiwa simu mida mibovu ilinibidi kufika hosp na kulala na tiba hakupata kwa wakati, wanadai bima nikawaambia anayo hawakunielewa nikahamisha mtt kwenda hospitali nyingine asubuhi yake.
Juzi mtoto wa F4 kafariki kizembe kwa kunyimwa ruhusa na mkuu wa shule Madam Opiyo mpaka kijana akazidiwa kumpeleka hosp ikawa too late leo amezikwa kwao Jijini Mwanza.
Nitoe rai kwa Mzee Magongo, kamati ya shule, bodi ya shule kufanya tathmini mapema Sana Opiyo & others watatuulia wanetu shule siyo jela na kutupandishia ada bila taarifa mkome mnaanza utapeli,
Nina hasira zangu na msiba wa mwanafunzi mniache.
CC Mkuu wa Wilaya Nyamagana
DSEO Nyamagana
KUU Nyamagana
RC Mwanza aione kwa jalada
Nina bet kuwa wewe ni shetani, kauli hizi ni za kishetani tu,Marehemu amefariki atajitetea vipi?Kwa tathimini yako unahisi huyo mwanafunzi (marehemu) bila uzembe wa shule angekufa lini?
Uzembe haujasababisha kifo isipokuwa uzembe ulimsababishia marehemu maumivu ya muda mrefu mwanafunzi kabla ya kifo chake
Ana roho ya ajabu binafsi nimemshangaa ndio binadamu tunaoishi nao haoNina bet kuwa wewe ni shetani, kauli hizi ni za kishetani tu,Marehemu amefariki atajitetea vipi?watanzania always tunasubiria wengine watupiganie, wazazi wa marehemu poleni but kabla ya mazishi mmemfanyia uchunguzi kujua chanzo cha kifo?why msifungue kesi dhidi ya wenye shule hadi mwl. Wa zamu wa siku ya tukio?hii shule ingekua nchi fulani leo ingekua ni majivu maana raia wake hawakubali ushenzi kama huu, mzazi umekimbilia kwenye keyboards kulalama, take action