Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiachana na hilo la msiba, mbona kama una matatizo binafsi na huyo Opiyo?Hakuna kitu Kama hiyo elimu IPO shida ni Opiyo mjaluo mpuuzi 1
Maana yake fika idara ya elimu upate maana!!District Sec Educ Officer
Hapo ndio ujinga walio nao Patron na matron. Kazi zao Nini!!? ...Huu sasa ni upuuzi, kama mtu anasema anaumwa, si umpeleke kwenye hospitali hiyo iliyokaribu ili apimwe, kama haumwi anasingizia si itaonekana tu? Sasa hiyo kuzurura inatoka wapi? Wawajibishwe haraka sana! Halafu angalieni na majina ya shule , ‘Thaqaafa’ , just imagine..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe ukome kupeleka mtoto shule za hovyo hovyo.
Walimu wengi wanadhan wanafunzi wanadanganya ili watoke nje tyuuh.Halafu siku hizi wameshuka sana hata kwenye matokeo dawa ni kutopoleka watoto tu, halafu hii shule iko mjini kabisa kutoka thaqafa hadi seketure ni dk 10 tu, kwenda Mwanza hospital dk 5, Uhuru hospital dk 10, mtoto anakufaje bwenini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah.Huyo Opiyo huwa ni mshenzi sana,huwa anajiona anajua sana professional ya ualimu kumbe hamna kitu,sina hakika kama amesomea fani ya ualimu,anamaamuz ya kijinga sana,walimu wote wa pale wanamwogopa utazani Mungu mtu,limama jenyewe leusiiiiiii tiiii!
Mbna shule n nzuri, sasa inakwama wapi ktk uendeshaji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahHiyo shule ilikuwa inasifika kwa mboko miaka ile.
Et ilikuwa ina supplier wa bakora maana hakuna miti pale.
Hapo ndio ujinga walio nao Patron na matron. Kazi zao Nini!!? ...
Ni Shule ya kiislam? Kwa kawaida the best schools na malezi mazuri no kwa Shule za kikristo, by the way mimi mwislamKichwa cha habari hapo juu chahusika.
Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza.
Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni huwa hawapewi ruhusa kwa kudhaniwa kuwa wanakwenda zurura.
Hii hata mimi ilinitokea kwa mwanangu last year; alipozidiwa ndipo wakampeleka Hosp yao ya Al ijumaa, tena jirani kabisa na shule nami nikapigiwa simu mida mibovu ilinibidi kufika hosp na kulala na tiba hakupata kwa wakati, wanadai bima nikawaambia anayo hawakunielewa nikahamisha mtt kwenda hospitali nyingine asubuhi yake.
Juzi mtoto wa F4 kafariki kizembe kwa kunyimwa ruhusa na mkuu wa shule Madam Opiyo mpaka kijana akazidiwa kumpeleka hosp ikawa too late leo amezikwa kwao Jijini Mwanza.
Nitoe rai kwa Mzee Magongo, kamati ya shule, bodi ya shule kufanya tathmini mapema Sana Opiyo & others watatuulia wanetu shule siyo jela na kutupandishia ada bila taarifa mkome mnaanza utapeli, walimu kila leo wanaacha kazi kwa kutolipwa mishahara Ada zetu mnapeleka wapi? Opiyo kazi yake uchawi na wanga tu kwa watoto wetu na kuoga mlangoni mwa ofisi ya meneja Mzee Magongo wakati kitaaluma shule inashuka Bora angebaki Sekitya Yule mganda shule ilikuwa Bomba kitaaluma hili mzee Magongo aliangalie Ila mwakani nahamisha wanangu full stop.
Nina hasira zangu na msiba wa mwanafunzi mniache.
CC Mkuu wa Wilaya Nyamagana
DSEO Nyamagana
KUU Nyamagana
RC Mwanza aione kwa jalada
Poleni sana.Kichwa cha habari hapo juu chahusika.