Kufariki kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne Thaqaafa Sec Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 20/03/2022, uzembe wa shule hii umulikwe

Kwa tathimini yako unahisi huyo mwanafunzi (marehemu) bila uzembe wa shule angekufa lini?

Uzembe haujasababisha kifo isipokuwa uzembe ulimsababishia marehemu maumivu ya muda mrefu mwanafunzi kabla ya kifo chake
 
DSEO ndio nani? au ndio nini?
 
Huyo Opiyo huwa ni mshenzi sana,huwa anajiona anajua sana professional ya ualimu kumbe hamna kitu,sina hakika kama amesomea fani ya ualimu,anamaamuz ya kijinga sana,walimu wote wa pale wanamwogopa utazani Mungu mtu,limama jenyewe leusiiiiiii tiiii!
 
Hamisheni watoto na Madam Opiyo watamfukuza automatically, Mbona hapo Mwanza kuna shule nyingi tu.
 
Huyo Opiyo huwa ni mshenzi sana,huwa anajiona anajua sana professional ya ualimu kumbe hamna kitu,sina hakika kama amesomea fani ya ualimu,anamaamuz ya kijinga sana,walimu wote wa pale wanamwogopa utazani Mungu mtu,limama jenyewe leusiiiiiii tiiii!
duuuu Sio Kwa povu hiliiii haya tuwekee picha yake tujiridhishe!
🤔🤔🤔🤔
 
Sijawahi hata kuisikia hiyo Shule,lazima ufaulu wake utakuwa wa ki-zuzuzuzu
 
Pole sanaa mzazi.....ila hata hospitali wagonjwa wana kufa tu kifo kipo popote af kuna wengine hawaendi hospitali wana pona hiyo ilikua kundra ya Mungu.

Mimi binafsi sioni kama wakuu wa shule ni wa kulaumu kwa hilo pale wanafunzi ni wajanja/watukutu ni mjini kati huwezi kuruhusi mtoto wa mtu kihivyo eti anaumwa kichwa labda kama mtoto alikua na magonjwa yake nyemelezi na shule aliambiwa na hawaja chukua hatua kwa hilo.

ile shule naifahamu ina msaada mkubwa kwa wakazi wa mjini mwanza kuweka ni dhamu kwa watt pale mwz kati, watt wanao pelekwa pale ni walio shindikana kielimu na kinidhamu na wanawatoamo kielimu, uuliza mwanafunzi yote alio pitia pale ile shule ni kiboko jopo ina maadui wengi,

Huwezi ku wa handle watoto wa mjini kati mwz kama watt wa seminary za RC kijijini hawa wanahitaji iron hand kama ya mwl Opio.
 
Shule nyingi za kiisilamu haziko kwenye viwango vya uendeshaji, unajua Morogoro kuna chuo kikuu kinachomilikiwa na BAKWATA!

Wengi hawajui.
 
Kwa tathimini yako unahisi huyo mwanafunzi (marehemu) bila uzembe wa shule angekufa lini?

Uzembe haujasababisha kifo isipokuwa uzembe ulimsababishia marehemu maumivu ya muda mrefu mwanafunzi kabla ya kifo chake
Nina bet kuwa wewe ni shetani, kauli hizi ni za kishetani tu,Marehemu amefariki atajitetea vipi?

Watanzania always tunasubiria wengine watupiganie, wazazi wa marehemu poleni but kabla ya mazishi mmemfanyia uchunguzi kujua chanzo cha kifo?

Why msifungue kesi dhidi ya wenye shule hadi mwl. Wa zamu wa siku ya tukio?

Hii shule ingekua nchi fulani leo ingekua ni majivu maana raia wake hawakubali ushenzi kama huu, mzazi umekimbilia kwenye keyboards kulalama, take action
 
Mambo mengine ni ya kupelekana mahakamani maana mtu kasema anaumwa ukamsubirisha mpk anataka kukata roho ndio unamkinbiza hospital
 
Ana roho ya ajabu binafsi nimemshangaa ndio binadamu tunaoishi nao hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…