Kufariki kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne Thaqaafa Sec Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 20/03/2022, uzembe wa shule hii umulikwe

Hiyo shule ilikuwa inasifika kwa mboko miaka ile.

Et ilikuwa ina supplier wa bakora maana hakuna miti pale.
 
Hakuna kitu Kama hiyo elimu IPO shida ni Opiyo mjaluo mpuuzi 1
Tukiachana na hilo la msiba, mbona kama una matatizo binafsi na huyo Opiyo?

Umenishangaza kuleta habari za yeye sijui kuoga madawa, mara sijui ni mchawi na mambo kama hayo..
 
Hapo ndio ujinga walio nao Patron na matron. Kazi zao Nini!!? ...
 
Halafu siku hizi wameshuka sana hata kwenye matokeo dawa ni kutopoleka watoto tu, halafu hii shule iko mjini kabisa kutoka thaqafa hadi seketure ni dk 10 tu, kwenda Mwanza hospital dk 5, Uhuru hospital dk 10, mtoto anakufaje bwenini?
Walimu wengi wanadhan wanafunzi wanadanganya ili watoke nje tyuuh.
 
Reactions: ram
Huyo Opiyo huwa ni mshenzi sana,huwa anajiona anajua sana professional ya ualimu kumbe hamna kitu,sina hakika kama amesomea fani ya ualimu,anamaamuz ya kijinga sana,walimu wote wa pale wanamwogopa utazani Mungu mtu,limama jenyewe leusiiiiiii tiiii!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah.
 
Mleta mada huna cha Mtoto wala nini, wewe ni Mgomvi wa Madam Opiyo unautaka Ukuu hapo Shuleni.

Kifo cha Mtoto Shuleni na Uchawi wa Mkuu wa shule vinaingiliana wapi na wapi,

Acha majungu wewe au unataka aletwe mvaaa Ushungi??
 
Haya mambo yako shule nyingi hata kata ziko hivyo hivi sasa.

Yaani unakuta ki madam kimepewa ofisi na vi panadol mtoto anakuja anaumwa anapigwa panadol analazimishwa arudi darasani.

Nadhani taulo za kike tu ndio ziruhusiwe kutolewa mashuleni na sio dawa.

Hili liwe kwa shule ambazo hazina mtaalam wa afya aliyeajiriwa na serikali.
 
Ni Shule ya kiislam? Kwa kawaida the best schools na malezi mazuri no kwa Shule za kikristo, by the way mimi mwislam
 
Poleni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…