Kufariki kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne Thaqaafa Sec Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 20/03/2022, uzembe wa shule hii umulikwe

Hii shule Marehemu Ustadhi Ilunga Hassan Kapungu aliiacha Sehemu Salama Sana na aliwaachia usia mzito mno

Moja ya jambo aliwaambia ni kuto kugombea madaraka shuleni Hapo Hilo alisisitiza saana mnooo

Sasa Huenda Hilo jambo limerudi Tena shuleni Hapo.
 
Mkuu kweli jina kama kifo, ta-kafa! Inafikirisha Sana!
 
Huyu madam Opiyo mwenye sura ya kiume, alitupiga sana mboko, ana roho ngumu kama ngozi ya mamba. Naomba serikali ichukue hatua hakuna namna.
Hahaha mwaka gani ulipita pale
 
Cc sumbai
Kama nimekutag kimakosa niwie radhi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hujanitag kimakosa. Wadogo zangu walisoma hapo.

Hiyo shule inachangamoto saana yakinidham kwa watoto

Wadogo zangu walikuwa wazururaji saana. Wanatoroka shule usiku. Miaka hiyo walikuwa wanamakundi ya kuvuta bangi kabisaaa.

Ila huyo madame opiyo wanamsema vibaya tuu lakin alikuwa ndio discipline alikuwa mkali wnaamuogopa. Atleast yeye ndio alisimama kidete paka wakamaliza salama.

Mungu ambariki madame opiyo. Poleni wama thakafa kwa mkasa huu

Makiwendo
 
Ile ni shule ya dini. Acha kulalamika
 
Mzee wangu aliniletea joining instruction ya hiyo shule lakini kabla sijaijaza nikapata taarifa za ki-intelijensia kwamba wanachapa sana hapo so nikaghaili kwenda
 
Shule nyingi za kiisilamu haziko kwenye viwango vya uendeshaji, unajua Morogoro kuna chuo kikuu kinachomilikiwa na BAKWATA!

Wengi hawajui.
🤣wanachuo wanatandikwa bakora hapo, clip imo humu imeletwa juzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…