Kukong'otwa ilikuwa zamani. Zama hizi tuna kong'otana.
Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita. Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu walio na wito kamili. Kama ile iendayo uzimani, ina vikwazo vingi. Kipi ambacho kamanda Mbowe...
Kuchakaa? Tutachakazana!
Kama gharama ni kuchakaa tu hiyo mbona ni ndogo mno? Ipo zaidi ya kufa?
Kama kufa hatuhofii tena labda utuonyeshe kitakacho togofya.