Kufika Mahakamani ni Haki yetu, si kosa Kisheria

Kufika Mahakamani ni Haki yetu, si kosa Kisheria

Mtakong’otwa mpaka mtachakaa.
Muroto legacy
Kukong'otwa ilikuwa zamani. Zama hizi tuna kong'otana.

Kuchakaa? Tutachakazana!

Kama gharama ni kuchakaa tu hiyo mbona ni ndogo mno? Ipo zaidi ya kufa?

Kama kufa hatuhofii tena labda utuonyeshe kitakacho togofya.
 
Si unywe sumu
 
Chadema hayajui ni kipi cha kufanya.
Zero brain big Mouth.

ID za msa(h) = Below zero brain mega mouth:

IMG_20210805_074809_641.jpg
 
Si unywe sumu

Umeandika kwa uchungu sana.

Kawaambieni wanaowatuma sumu mtakunywa nyinyi. Kwa maana hiyo haimo kwenye gharama zetu za kulipa:

Habari ndiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom