Habari JF,
Nchi kuanzia mwaka 2015 ilianza kupitia mabadiliko makubwa sana ya kimipango na kimiradi, madilikohaya yameletwa na watu wawili ambapo by 2030 kuna uwezekano mkubwa baadhi ya matatizo yakawa ni historia.
1. Hayati Magufuli ,alianzisha mipango/mifumo na miradi ambayo hata yeye hatujui kama angeikamilisha maana mingine ni miradi ambayo imewashinda ma rais wengine kwa zaidi ya miaka 50.
2. Rais mama Samia, anatekeleza kwa vitendo mambo aliyoyaacha mtangulizi wake JPM na mengine mapya mengi. Na kwa kasi aliyonayo by 2030 kuna uwezekano mkubwa baadhi ya matatizo ikawa history mfano suala la Umeme na mengine.
Hivyo katika kipindi cha 2015 -2030 Nchi itashuhudia maendeleo makubwa sana ambayo tumeshindwa fanya katika kipindi cha zaidi ya miaka 50 sifa zote zikienda kwa Hayati JPM na Rais wangu Mama Samia.
Je, kutakuwa na shida tukitambua mchango wao kwa kuwajengea minara ya kipekee pale Dodoma ifikapo 2030? Najua tutakuwa tumechoka sana sababu maendeleo haya tutayapata kwa jasho.