antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
HAKUNA kesi itafunguliwa hapo maana polepole ndo mhusika mkuu.Natumai jambo hili litafanyiwa kazi haraka maana sio busara kuliacha jambo zito hivi lipite bila wahalifu hawa kuadhibiwa kulingana na tuhuma za Bwana Polepole.
Hizo kura feki ziliagizwa na ccm, zilichapwa na JAMANA Printers, zikasambazwa nchi nzima na ccm kupitia vibaraka na mawakala wao