maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,536
- 1,360
Kuna watu wanafikiriaga kwa kutumia makalio, ukweli ni kwamba corona haiishi Leo wala kesho, life must move on.
Sent using Jamii Forums mobile app
I'm not Mataga lakini this is an issue... Kama WHO wamesema itatubidi tuishi na hivi virusi kama virusi vingine why not tusifungue shule na vyuo!!?
Hatuwezi kufunga taasisi za elimu milele labda dunia iishie hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app