Kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II, je tunaweza kufungua codes za kifo cha Princess Diana?

dah ...iyo loyal family tabia zao sio ....scandal nying za ajabu
 
Unaleta mtt kwenye familia ya kifalme kutoka kwa mwarabu Tena muislamu hili lilikuwa ni tusi kwa ufalme, fikiria siku moja anapewa kiti je wataweka wapi sura zao?,suala lilikuwa ni mtu gani aliye na uhusiano na Diana!,, shida haikuwa pesa bali ni bloodline, familia zote ulaya hupeana ndoa kwa bloodline zinazofanana, ukiangalia vizuri famle za ulaya zote ni ndugu, ni bora kwa taswira ya ufalme angeingia mahusiano na labda house of rothchilds au wakubwa wengine UK...si Windsor house hata familia za machifu enzi hizo hali ilkuwa hivi!, Hawa wenyew ni German nobilty walibadilisha jina kutoka Saxe-Coburg-Gotha-Battenberg hadi Windsor-Mountbatten house ili kuondoa ujerumani kwenye jina, kutoka nje ya bloodline ni tusi aidha ufariki au wakutenge.
 
Doddy Al Fayed aliekua mpenzi wa Princess Diana, hakua mpakistani alikua ni mwarabu wa Misri. Baba yake Mohamed Al Fayed alikua ni tajiri mkubwa sana hapo London akimiliki Duka la Vitu vya bei mbaya la " The Harrods" lipo mitaa ya Knightsbridge na Kensington. Pia alikua ndio mmiliki wa Hotels za Ritz London na Paris na timu ya Fulham kabla hajaiuza kwa mmiliki wa sasa. Siku ajali inatokea hao wapenzi walikua wametokea kwenye hio hotel ya baba yake ya The Ritz Paris. Mohamed Al Fayed alikua na connection na utawala wa Uingereza kwa hio ilikua rahisi kwa mtoto wake Doddy kumpata Diana. Yeye na shemeji yake marehemu Adnan Khashoggi ndio waliokua middlemen wa kuuza silaha za Uingereza duniani. Adnan Khashoggi alikua ni baba mdogo wa yule mwandishi wa Saudi Arabia alieuawa kwenye ubalozi kule Istanbul Turkey. ni familia ya kitajiri yenye uhusiano na ufalme wa Saudi Arabia.... nitarudi ili nieleze ukitaka kitu chochote lazima uwe na connection.
 
Interesting..
 
Dah hatari
 
Mohamed Al Fayed ni Muarabu wa Misri.
 
Kwanza Dod alikuwa mwarabu wa asili ya Misri. Pili kile kifo ni ajali .Though kusema ukweli malkia Eliza alimuumiza sana Di. Yaani huko kuzimu Lady Di atakuwa anamsubiri Eliza kwa hasira kama zote. Ila jokes a side Charles 111 hatakaa sana kwenye huu ufalme. Naona kama ataugua Alzheimer soon,alimtesa sana Diana kwenye ndoa yao.
 
Mtu akifa anawezaje kumsubiri mwingine ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…