Kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II, je tunaweza kufungua codes za kifo cha Princess Diana?

princess dianah ina sound pretty kuliko queen elizabeth.ndio sababu alimzidi umaarufu.
 
Siri za mule ndani kuvuja mpka sisi watu kutoka kwa mpalange , mwanalumango, kwa bibi njau tujue ?? Mmmmmh sio kweli ni story tu
 
Kuna tetesi zingine kuwa Diana alizikwa eneo la makaburi wanakozikwa mbwa wakifa wa wafalme na malkia wa Uingereza

Hilo vipi?
Huo ni uongo mkubwa wa mchana kweupe wa tabloid ya Daily Mail. The royal families zote duniani zina mtindo wa ku keep close ties, ukiolewa na kutalikiwa unahesabika kama an outcast, sio kweli kuwa alizikwa wanakozikwa mbwa bali Diana ni Spenser hivyo alizikwa makaburi ya Spencer chembers na sio inner chambers kwasababu tayari alikuwa smeishaondoka rasmi nyumbani kwa kuolewa, hivyo sio Spenser na ni mtalaka!.
P
 
Nikiukwaa mimi nitakuwa ni mbunge wa jf!.
P
Mimi nakuombea Kwa dhati upate hii nafasi, wasiwasi wangu ni wapiga kura tu ambao ndio hawa waliopitisha tozo bungeni bila hata kujuwa wanapitisha nini.

Sina imani na hawa wabunge wa Ccm hasa ukifuatilia jinsi walivyopatikana ni ubatili mtupu.
 
Kumbe kifo cha khashoggi ni zaidi ya tukijuavyo. Mtu anauwawa ubalozini wakati huohuo ana historia ndefu na viunga vya malikia na wafalme
😮😮😮😮 bila shaka kuna jambo alilinyaka(tofauti na tunavyo elezwa) na halikuoaswa liende public
 
Mimi nakuombea Kwa dhati upate hii nafasi, wasiwasi wangu ni wapiga kura tu ambao ndio hawa waliopitisha tozo bungeni bila hata kujuwa wanapitisha nini.

Sina imani na hawa wabunge wa Ccm hasa ukifuatilia jinsi walivyopatikana ni ubatili mtupu.
Mkuu Matola, usikute mimi kukosa ndio mpango wa Mungu. Kuna vitu vingine ni blessing in disguise!.
P
 
Mkuu Matola, usikute mimi kukosa ndio mpango wa Mungu. Kuna vitu vingine ni blessing in disguise!.
P
Ccm ni chama cha washirikina, wala Mungu hausiki na michakato ya Ccm.

Hao waliopitishwa hakuna hata mmoja anayekuzidi jina wala sofa, wewe si mwenzao.

Kawe ulipata fursa ya kugombea kura za maoni Kwa sababu utaratibu wa mchujo unafanyika baada ya kura kupigwa.

Angalia uchaguzi wa Ccm ngazi ya wilaya na mkoa watakavyokatana majina ya wagombea na watakaoshinda utakuja kuamini hiki ninachoandika Ccm siyo chama cha siasa, ni kikundi cha kigaidi tu.
 
Basikia aliuawa na wasiojulikana
Alikuwa mjamzito wa mwarabu
 
Ccm ni chama cha washirikina, wala Mungu hausiki na michakato ya Ccm.
Mkuu Matola , haijalishi ni mbinu gani mtu ametumia kuupata uongozi, iwe ni kwa kuhonga, kugawa, kwa kutumia nguvu za giza, ushirikina, sangoma or just a technical know who, the end justify the means, anayepata ni Mungu anawezesha, ni Mungu ndiye anaweka serikali za mataifa hata kama zimeingia kwa hila, udhalimu au bao la mkono, ukishinda ni Mungu, na ukikosa pia ni Mungu!.
Hao waliopitishwa hakuna hata mmoja anayekuzidi jina wala sofa, wewe si mwenzao.
Niliyapitia majina ya waliopitushwa, kiukweli kabisa wamenizidi sana kwa sifa!. EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!
Ccm siyo chama cha siasa, ni kikundi cha kigaidi tu.
Naomba kuheshimu mawazo yako Ila sikubaliani nayo!. CCM sio kikundi cha kigaidi, ila Tanzania vikundi vya kigaidi vipo na vinajulikana!. CCM ndio chama pekee cha siasa nchini Tanzania hivyo kitaendelea kutawala for a long long time, probably milele, hadi watoto wetu na watoto wa watoto wetu waje waanzishe chama mbadala. Kwa sasa Tanzania hivi tulivyo Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Sababu inayokifanya CCM kutawala Tanzania milele ni kwasababu CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
 
Vipi kama alikuwa kashauza hizo siri tayari?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 

Umeshindwa kufungua za Ben Unapambama na yasiyokuhusu
 
Diana alievuka mstari mwekundu the only solution was to eliminate her,

Ingetosha tu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na yule mwarabu lkn alipoamua kubeba na mimba yake aliingiza kiganja chake kwenye mdomo wa Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…