Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, CHADEMA yaahirisha Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliopangwa kufanyika Makao Makuu ya chama

Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, CHADEMA yaahirisha Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliopangwa kufanyika Makao Makuu ya chama

Ndugu Mwandishi wa habari tafadhali zingatia tangazo hili kutoka Chadema .

Tunawashukuru sana CHADEMA, tunajua mlitaka kuuambia umma kwamba huyu mpendwa wetu hatunaye tena duniani, na mlitaka kuitaka serikali ama ikanushe au ithibitishe jambo hilo. Wameona wawawahi ili kuficha aibu yao. Tunawatakia maisha marefu Chadema. Yeyote anayewaombea mabaya ajiandae kukutana nayo hayo mabaya. Mwigulu aliwawinda sana, lakini baadaye mambo yalimgeukia akaanza kupata mabalaa hadi ya kutumbuliwa hadi alipojikomba bungeni na kurudishwa tena kwenye madaraka.

Tujifunze kutendeana mema na kupendana.

Naomba Chadema mtakapotoa tamko lenu mmalizie na sentensi hii "Kujifunze kupendana, kutakiana mema na kutendeana mema maishani mwetu". Duniani tunapita tusijione ni wa kudumu.
 
Alimpigia Lowassa push-ups, akajipa utukufu wa Mungu, huku wateule wake wakimuita "mh mungu". Wengine wakisema eti, "lazima CCM ishinde uchaguzi, Mungu apende ama asipende". Mungu Baba yetu wa mbinguni ni Mungu wa haki. Mvua yake hunyeshea wenye haki na wenye dhambi...
Wengine walisema Mungu anatakiwa amshukuru huyu mtu.
 
Tunawashukuru sana CHADEMA, tunajua mlitaka kuuambia umma kwamba huyu mpendwa wetu hatunaye tena duniani, na mlitaka kuitaka serikali ama ikanushe au ithibitishe jambo hilo. Wameona wawawahi ili kuficha aibu yao. Tunawatakia maisha marefu Chadema. Yeyote anayewaombea mabaya ajiandae kukutana nayo hayo mabaya. Mwigulu aliwawinda sana, lakini baadaye mambo yalimgeukia akaanza kupata mabalaa hadi ya kutumbuliwa hadi alipojikomba bungeni na kurudishwa tena kwenye madaraka.

Tujifunze kutendeana mema na kupendana.

Naomba Chadema mtakapotoa tamko lenu mmalizie na sentensi hii "Kujifunze kupendana, kutakiana mema na kutendeana mema maishani mwetu". Duniani tunapita tusijione ni wa kudumu.
Aiseeee !!!
 
Kuna ndugu mmoja anaitwa Mwanri, akiwa Mkuu wa Mkoa kule Tabora alisema eti Mungu amshukuru Huyu jamaa. Yaani yeye ni zaidi ya Mungu. Na Kangi Lugola alisema huyu ni ni Yesu wa Tanzania. Kufuru zingine zinapitiliza kwa kweli.
 
Hivi wee zimo kweli kichwani?aisee...lissu atakuwa anakutesa Sana,pole Sana MKUU...ILA NADHANI HAPA TUNAZUNGUMZIA CDM KUHAIRISHA MKUTANO WAO KWA SABABU YA MSIBA MZITO WA TAIFA...haya mengine yamekujaje?[emoji848][emoji848][emoji848]
ID ya BASHITE hiyo.. BASHITE kanyimwa akili kabisa kabisa., akapewa makalio.
Linajiona limepata. Jinga sana.
 
Unahangaika, hadi sasa hujalala, kwani na wewe umefiwa, si huyo aliyekufa mlisema hammutambui?
Wewe unayemtambua unasemaje sasa? Usicheze na nguvu za Mungu. Na wakati wote Mungu yupo upande wa wanaoonewa. Hajawahi kuwa upande wa waonezi. Ukitaka Mungu akuache basi anza kuonea watu na kuwanyanyasa. Hivi kwa nini hatujifunzi kutoka kwa Idd Amin, Samwel Do, Mabutu , Hitler na madikteta wengine?
 
FB_IMG_1616056676066.jpg
 
Tena ana bahati kufia Ikulu. Alitakiwa afie jela! Alikuwa mhalifu... Bado kesi ya kutaka kumuua Lissu haijafungwa.
Unahangaika, hadi sasa hujalala, kwani na wewe umefiwa, si huyo aliyekufa mlisema hammutambui?
 
Unahangaika, hadi sasa hujalala, kwani na wewe umefiwa, si huyo aliyekufa mlisema hammutambui?
Acha ubinafsi. Unataka hadi kujimilikisha msiba?

Hata asipomtambua ina maana unataka asikubali kuwa amefariki? Acheni tumsitiri kwanza marehemu mpendwa wetu ndipo muanze mipasho yenu
 
Back
Top Bottom