Kwani hujaona uwezo wao wakukabiliana na makaburu weusi, hayo kwako sii mafanikio Yao, Ila uadui wenu kwao🏃.Kama huo mbadala unaopigiwa upatu umeshindwa hata kujiendeleza wenyewe, hawana hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu, tutawaaminije kuwa wako maendeleo minded? Kwa kusikia porojo tu za midomoni?
Fanyeni kitu kichama mtuonyeshe evidence!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tumetumia ruzuku kununua shamba la mwenyekiti kule Ifakara, mwenyekiti anamiliki matrekta ya kisasa hii inamaana mkituchagua tutaboresha kilimo, mwenyekiti ameng'ang'ania kiti kama mfalme, hii inamaanisha mkituchagua tuta talawala nchi kifalme.Kama huo mbadala unaopigiwa upatu umeshindwa hata kujiendeleza wenyewe, hawana hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu, tutawaaminije kuwa wako maendeleo minded? Kwa kusikia porojo tu za midomoni?
Fanyeni kitu kichama mtuonyeshe evidence!
Kama wangefanya kweli kwenye hiyo report leo hii baraza la mwawziri lisingekuwa hivi.Ni kwasababu wahusika ndiyo wamejichunguza.
Mh Lema alishasema kitamboTuliposema sisi mlituita wapinzani[emoji849][emoji849]
Bashiru hadi leo haamini kilicho mtokea .Walikuwa wamejipanga kuibia Watanzania, eti chief secretary Bashiru!!
Yani huyu mwendakuzimu Mungu ame adhabu ya kaburi tu hakuna namna.
Kila mtu anajipigia anavyo jisikiaNdiyo maana nikasema humu ndani mwa CCM hakuna ambaye anafaa kwenye kioo cha jamii,,wote majambalika
Sitaki ushauri wa mutu maana fomu niliichukua mimi mwenyeweKama kumbukumbu zangu ziko sawa, Jiae aliwahi kusema yeye hashauriki. Sasa hao unaowataja wangumshauri vp vizuri?
Nasikia gang hilo ni maarufu kwa uchawi wakiongozwa na yule KashekuHii ni ile Gang , imekosa ulaji sasa inahangaika
Alafu watu wasiyo jitambua wakawa wanasherehekea kama mazuzu kuitwa wanyongeKushauri pesa zilizokopwa zichunguzwe ni vibaya ila hali Jiwe alisema yeye ni Rais wa wanyonge!
Wana ccm wote wako hivyoUkiona mtu anawakubalia viongozi wakuu wawili flani, jua ukoo wake una asili ya utumwa. Huwa wanapenda kuchungwa chungwa, kunyanyaswa nk.
Mwana uvccm akisikia unaitaja katiba mpya anakimbia kabisaTupate katiba mpya itakayoruhusu wagombea binafsi
Awamu ya 5 ndiyo inaongoza kwa ufisadiKama huo mbadala unaopigiwa upatu umeshindwa hata kujiendeleza wenyewe, hawana hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu, tutawaaminije kuwa wako maendeleo minded? Kwa kusikia porojo tu za midomoni?
Fanyeni kitu kichama mtuonyeshe evidence!
Kwanza ingebidi washitakiwe kwa kuendesha biashara ya binadamu.Hata huyo Polepole na Bashiru wachunguzwe walivyokuwa wakizitafuna fedha za manunuzi ya watu.
Corona inatisha sana maana haina uoga hata kidogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tumetumia ruzuku kununua shamba la mwenyekiti kule Ifakara, mwenyekiti anamiliki matrekta ya kisasa hii inamaana mkituchagua tutaboresha kilimo, mwenyekiti ameng'ang'ania kiti kama mfalme, hii inamaanisha mkituchagua tuta talawala nchi kifalme.
Tuvushe mwamba tuvushe[emoji23]
Jambo ambalo Nappe na wanaomtuma hawailijui kuwa kadri wanavyopambana kumchafua Magufuli wanachafuka wao. Waliitisha ukaguzi maalum wa BOT mara tu baada ya msiba, hadi leo majibu wameyakalia. Wao wafanye kazi kadri ya uwezo wao na dhamira zao. Kama dhamira zao zikiwa njema hata wakifanya makosa wananchi watajua, lakini wakiwa na dhamira ovu hata wakifanya mema wananchi watawalaumu tu.Ukimjua Nape hutahangaika naye,huyu ni mzee wa kutumwa.
Alitumwa kumchafua Lowassa na Msogagang.
Mojawapo ya Hawa kamtuma Hangaya au mzee wa Msoga,ili kumchafua Jiwe.
Jiwe pamoja na kuwa hayupo,hicho ni kina kirefu,heri apambane na waliohai saizi yake.
Kwa mjibu wa sheria za Tanzania mkopaji mkuu kwa niaba ya nchi ni waziri wa fedha na mipango, mgawaji wa fedha kwa kuzingatia mahitaji na mfuatiliaji matumizi ya fedha hizo. Hazina na Benki kuu ziko chini ya waziri wa fedha na mipango. Ndiye mkusanyaji mkuu wa fedha za ndani kutoka kwenye kodi,, tozo, ada, ushuru na maduhuli yote.Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, nimeshuhudia marais wa awamu zote 6, katika wote nilimkubali sana JK Nyerere na JPM.
Nikirejea kwenye mada, kufuatia alichokisema Mh Nappe, endapo itathibitika kuwa fedha zilizokopwa na awamu ya 5 zilitumika vibaya, wafuatao wachukuliwe hatua
1. Aliyekuwa Makamu wa Rais wa awamu ya 5 kwakuwa hakumshauri vyema mwenza wake, ikumbukwe kuwa na yeye pia alikuwepo katika karatasi ya kura ya uchaguzi mkuu na mbele ya sura yake ndiyo wapiga kura waliweka alama ya vema.
2. Waziri Mkuu wa awamu ya 5, huyu alikuwa mtendaji mkuu wa Serikali, kwanini alifumbia macho uovu huo?
3. Aliyekuwa Waziri mwenye dhamana ya fedha, huyu nayeye asipone katika sakata hili maana yeye ndiyo mwangalizi wa kila senti ya serikali inatoingia na Kutoka.
Mwisho: kama Hawa hawatachukuliwa hatua basi nachukua fursa hii kumpongeza JPM kwa aliyoyafanya kila kona ya nchi hii.
Kama lengo ni kuchunguza mikopo na thamani ya miradi iliyofanywa basi tunatakiwa kuanzia awamu ya kwanza hadi ya sasa ili tuwe wa kweli na wawazi na kumtendea haki kila mtu... kwanini tuchunguze awamu ya tano tuu? kwa nini tuchunguze awamu zote zilizo kopaKwanza nipende kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, nimeshuhudia marais wa awamu zote 6, katika wote nilimkubali sana JK Nyerere na JPM.
Nikirejea kwenye mada, kufuatia alichokisema Mh Nappe, endapo itathibitika kuwa fedha zilizokopwa na awamu ya 5 zilitumika vibaya, wafuatao wachukuliwe hatua
1. Aliyekuwa Makamu wa Rais wa awamu ya 5 kwakuwa hakumshauri vyema mwenza wake, ikumbukwe kuwa na yeye pia alikuwepo katika karatasi ya kura ya uchaguzi mkuu na mbele ya sura yake ndiyo wapiga kura waliweka alama ya vema.
2. Waziri Mkuu wa awamu ya 5, huyu alikuwa mtendaji mkuu wa Serikali, kwanini alifumbia macho uovu huo?
3. Aliyekuwa Waziri mwenye dhamana ya fedha, huyu nayeye asipone katika sakata hili maana yeye ndiyo mwangalizi wa kila senti ya serikali inatoingia na Kutoka.
Mwisho: kama Hawa hawatachukuliwa hatua basi nachukua fursa hii kumpongeza JPM kwa aliyoyafanya kila kona ya nchi hii.
Kweli kabisa kiongozi.Jambo ambalo Nappe na wanaomtuma hawailijui kuwa kadri wanavyopambana kumchafua Magufuli wanachafuka wao. Waliitisha ukaguzi maalum wa BOT mara tu baada ya msiba, hadi leo majibu wameyakalia. Wao wafanye kazi kadri ya uwezo wao na dhamira zao. Kama dhamira zao zikiwa njema hata wakifanya makosa wananchi watajua, lakini wakiwa na dhamira ovu hata wakifanya mema wananchi watawalaumu tu.
Kama alikutumbua mwenyewe au ndugu yako au ulipoteza urojo fulani utamuona wa chato mbaya. Ila hakika alikua bora sana kwa maslahi ya taifa letu.Kaharibu kwa kumlinganisha baba wa taifa na huyo wa chato
Sema kwa familia yako siyo kwa taifaKama alikutumbua mwenyewe au ndugu yako au ulipoteza urojo fulani utamuona wa chato mbaya. Ila hakika alikua bora sana kwa maslahi ya taifa letu.