Kufuatia maoni ya Nape kuhusu deni la Taifa awamu ya tano, Wafuatao wachukuliwe hatua kali

Kama huo mbadala unaopigiwa upatu umeshindwa hata kujiendeleza wenyewe, hawana hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu, tutawaaminije kuwa wako maendeleo minded? Kwa kusikia porojo tu za midomoni?
Fanyeni kitu kichama mtuonyeshe evidence!
Kwani hujaona uwezo wao wakukabiliana na makaburu weusi, hayo kwako sii mafanikio Yao, Ila uadui wenu kwao🏃.
 
Kama huo mbadala unaopigiwa upatu umeshindwa hata kujiendeleza wenyewe, hawana hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu, tutawaaminije kuwa wako maendeleo minded? Kwa kusikia porojo tu za midomoni?
Fanyeni kitu kichama mtuonyeshe evidence!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tumetumia ruzuku kununua shamba la mwenyekiti kule Ifakara, mwenyekiti anamiliki matrekta ya kisasa hii inamaana mkituchagua tutaboresha kilimo, mwenyekiti ameng'ang'ania kiti kama mfalme, hii inamaanisha mkituchagua tuta talawala nchi kifalme.

Tuvushe mwamba tuvushe[emoji23]
 
Walikuwa wamejipanga kuibia Watanzania, eti chief secretary Bashiru!!

Yani huyu mwendakuzimu Mungu ame adhabu ya kaburi tu hakuna namna.
Bashiru hadi leo haamini kilicho mtokea .
 
Ukiona mtu anawakubalia viongozi wakuu wawili flani, jua ukoo wake una asili ya utumwa. Huwa wanapenda kuchungwa chungwa, kunyanyaswa nk.
Wana ccm wote wako hivyo
 
Kama huo mbadala unaopigiwa upatu umeshindwa hata kujiendeleza wenyewe, hawana hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu, tutawaaminije kuwa wako maendeleo minded? Kwa kusikia porojo tu za midomoni?
Fanyeni kitu kichama mtuonyeshe evidence!
Awamu ya 5 ndiyo inaongoza kwa ufisadi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tumetumia ruzuku kununua shamba la mwenyekiti kule Ifakara, mwenyekiti anamiliki matrekta ya kisasa hii inamaana mkituchagua tutaboresha kilimo, mwenyekiti ameng'ang'ania kiti kama mfalme, hii inamaanisha mkituchagua tuta talawala nchi kifalme.

Tuvushe mwamba tuvushe[emoji23]
Corona inatisha sana maana haina uoga hata kidogo
 
Ukimjua Nape hutahangaika naye,huyu ni mzee wa kutumwa.
Alitumwa kumchafua Lowassa na Msogagang.
Mojawapo ya Hawa kamtuma Hangaya au mzee wa Msoga,ili kumchafua Jiwe.

Jiwe pamoja na kuwa hayupo,hicho ni kina kirefu,heri apambane na waliohai saizi yake.
Jambo ambalo Nappe na wanaomtuma hawailijui kuwa kadri wanavyopambana kumchafua Magufuli wanachafuka wao. Waliitisha ukaguzi maalum wa BOT mara tu baada ya msiba, hadi leo majibu wameyakalia. Wao wafanye kazi kadri ya uwezo wao na dhamira zao. Kama dhamira zao zikiwa njema hata wakifanya makosa wananchi watajua, lakini wakiwa na dhamira ovu hata wakifanya mema wananchi watawalaumu tu.
 
Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, nimeshuhudia marais wa awamu zote 6, katika wote nilimkubali sana JK Nyerere na JPM.

Nikirejea kwenye mada, kufuatia alichokisema Mh Nappe, endapo itathibitika kuwa fedha zilizokopwa na awamu ya 5 zilitumika vibaya, wafuatao wachukuliwe hatua

1. Aliyekuwa Makamu wa Rais wa awamu ya 5 kwakuwa hakumshauri vyema mwenza wake, ikumbukwe kuwa na yeye pia alikuwepo katika karatasi ya kura ya uchaguzi mkuu na mbele ya sura yake ndiyo wapiga kura waliweka alama ya vema.

2. Waziri Mkuu wa awamu ya 5, huyu alikuwa mtendaji mkuu wa Serikali, kwanini alifumbia macho uovu huo?

3. Aliyekuwa Waziri mwenye dhamana ya fedha, huyu nayeye asipone katika sakata hili maana yeye ndiyo mwangalizi wa kila senti ya serikali inatoingia na Kutoka.

Mwisho: kama Hawa hawatachukuliwa hatua basi nachukua fursa hii kumpongeza JPM kwa aliyoyafanya kila kona ya nchi hii.
Kwa mjibu wa sheria za Tanzania mkopaji mkuu kwa niaba ya nchi ni waziri wa fedha na mipango, mgawaji wa fedha kwa kuzingatia mahitaji na mfuatiliaji matumizi ya fedha hizo. Hazina na Benki kuu ziko chini ya waziri wa fedha na mipango. Ndiye mkusanyaji mkuu wa fedha za ndani kutoka kwenye kodi,, tozo, ada, ushuru na maduhuli yote.

Ndiye signatory mwambata wa utoaji fedha kutoka benki kuu na hazina

Fanyeni mchanganuo kwa mtiririko huu ufuatao ili kubaini kwa yakini ni nani amefanya vema zaidi, ubora gani na kukubaliwa kiwango gani:

1. Julius Kambarage Nyerere-1965-1985 (mikopo, misaada, makusanyo ya mapato ya serikali na matumizi yake dhidi ya kile kilichofanyika kwa muda wa miaka ishirini madarakani kama rais wa nchi
2.Ally Hassan Mwinyi-1985-1995 (mikopo, misaada, makusanyo ya mapato yote ya serikali na matumizi yake dhidi ya kile kilichofanyika kwa muda wa miaka kumi madarakani kama rais wa nchi)
3. Benjamini William Mkpa-1995-2005 (mikopo, misaada, makusanyo ya mapato yote ya serikali na matumizi yake dhidi ya kile kilichofanyika kwa kipindi cha miaka kumi madarakani kama rais wa nchi)
4. Jakaya Halfan Mrisho Kikwete-2005-2015 (mikopo, misaada, makusanyo ya mapato yote ya serikali na matumizi yake dhidi ya kile kilichofanyika kwa kipindi cha miaka kumi madarakani kama rais wa nchi)
5. John Joseph Pombe Magufuli-2015-Machi 2021 (mikopo, misaada, makusanyo ya mapato yote ya serikali na matumizi yake dhidi ya kile kilichofanyika kwa kipindi cha miaka mitano na miezi minne akiwa madarakani kama rais wa nchi)
6. Samia Suluhu Hassan-Machi 2021-Oktoba 2021 (mikopo, misaada, makusanyo ya mapato yote ya serikali na matumizi yake dhidi ya kile kilichofanyika ndani ya muda aliokaa madarakani akiwa rais wa nchi
 
Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, nimeshuhudia marais wa awamu zote 6, katika wote nilimkubali sana JK Nyerere na JPM.

Nikirejea kwenye mada, kufuatia alichokisema Mh Nappe, endapo itathibitika kuwa fedha zilizokopwa na awamu ya 5 zilitumika vibaya, wafuatao wachukuliwe hatua

1. Aliyekuwa Makamu wa Rais wa awamu ya 5 kwakuwa hakumshauri vyema mwenza wake, ikumbukwe kuwa na yeye pia alikuwepo katika karatasi ya kura ya uchaguzi mkuu na mbele ya sura yake ndiyo wapiga kura waliweka alama ya vema.

2. Waziri Mkuu wa awamu ya 5, huyu alikuwa mtendaji mkuu wa Serikali, kwanini alifumbia macho uovu huo?

3. Aliyekuwa Waziri mwenye dhamana ya fedha, huyu nayeye asipone katika sakata hili maana yeye ndiyo mwangalizi wa kila senti ya serikali inatoingia na Kutoka.

Mwisho: kama Hawa hawatachukuliwa hatua basi nachukua fursa hii kumpongeza JPM kwa aliyoyafanya kila kona ya nchi hii.
Kama lengo ni kuchunguza mikopo na thamani ya miradi iliyofanywa basi tunatakiwa kuanzia awamu ya kwanza hadi ya sasa ili tuwe wa kweli na wawazi na kumtendea haki kila mtu... kwanini tuchunguze awamu ya tano tuu? kwa nini tuchunguze awamu zote zilizo kopa
 
Jambo ambalo Nappe na wanaomtuma hawailijui kuwa kadri wanavyopambana kumchafua Magufuli wanachafuka wao. Waliitisha ukaguzi maalum wa BOT mara tu baada ya msiba, hadi leo majibu wameyakalia. Wao wafanye kazi kadri ya uwezo wao na dhamira zao. Kama dhamira zao zikiwa njema hata wakifanya makosa wananchi watajua, lakini wakiwa na dhamira ovu hata wakifanya mema wananchi watawalaumu tu.
Kweli kabisa kiongozi.
 
Kaharibu kwa kumlinganisha baba wa taifa na huyo wa chato
Kama alikutumbua mwenyewe au ndugu yako au ulipoteza urojo fulani utamuona wa chato mbaya. Ila hakika alikua bora sana kwa maslahi ya taifa letu.
 
Sema kwa familia yako siyo kwa taifa
 
Back
Top Bottom