Wewe unamuona Kanye West yuko sawa upstairs? Forbes wanaangalia net Assets na sio una magari mangapi, chain ngapi etc. End of the day wakitoa liabilities unajikuta umebakiza jina tu..Diamond yuko sawa,Kanye west kila siku analalamika kuhusu hawa forbes kumkadiria ana hela ndogo wakati yeye anadai ana mkwanja mrefu
🙏🙏🙏,Mi mwenyewe nimeuliza kuna mtu kawahi ona financial report ya diamond?so wanaosema ana hela wanatumia criteria gan?😂😂😂Wewe unamuona Kanye West yuko sawa upstairs? Forbes wanaangalia net Assets na sio una magari mangapi, chain ngapi etc. End of the day wakitoa liabilities unajikuta umebakiza jina tu..
Kama Kanye West aivyo behave ki tandaleSijaona mantiki ya Diamond kupaniki namna ile... Hakika sijaona.
Yanii he sounded Dumb !! Kabisa... Im his fan ila angemute tu. They say... 'Actions speak louder'
Amejibehave kimbagala mnoo...
Kanye west aliwapelekea financial report waka hakiki,Kama Kanye West aivyo behave ki tandale
Kabla ujauliza ili swali hivi, ulijiuliza hiyo report ya mwanzo ya kanye west waliyo toa hao Forbes, details walizitoa wapi kabla ajapeleka details zake sahihi ?Kanye west aliwapelekea financial report waka hakiki,
Vip diamond kapeleka lin?😂😂😂
Ndio kawaambia wamugoogleKanye west aliwapelekea financial report waka hakiki,
Vip diamond kapeleka lin?[emoji23][emoji23][emoji23]
Makadirio.Kabla ujauliza ili swali hivi, ulijiuliza hiyo report ya mwanzo ya kanye west waliyo toa hao Forbes, details walizitoa wapi kabla ajapeleka details zake sahihi ?
Angalia list mzee baba amekadiriwa kua wa 28 akiwa na USD 5.1mMakadirio.
Kanye alilalamikia kupewa makadirio ya chini,mond yeye hayupo kabisa.
Sasa huwenda kosa ni la forbes kweli,yeye anatakiwa awapeleker,assets zake na thamani zake,sio kulia lia.
Mbona wamemzidishia hata hivyo!!!Angalia list mzee baba amekadiriwa kua wa 28 akiwa na USD 5.1m
Haha ndo hivyo mkuu yeye anaona wamemkadiria kiduchuMbona wamemzidishia hata hivyo!!!
Utajiri wa bln 11 ni mkubwa sana.
Kwa utajiri huu anashindwa nini kununua gari ya ndoto yake RR 2021 kama milion 800 na ushee iviMbona wamemzidishia hata hivyo!!!
Utajiri wa bln 11 ni mkubwa sana.
Huyu ndugu yetu bana feki sana.Kwa utajiri huu anashindwa nini kununua gari ya ndoto yake RR 2021 kama milion 800 na ushee iviView attachment 1797453
Kwa hyo unataka ainunue hyo nyumba ya sala sala ndo uamini ana hela ? 😀 Jamaa assert zake zinajulikana , Wasafi label ipo top ten Africa, Wasafi media inakimbiza Tz kuanzia live mpak online , nyimbo zake zinakimbiza kila sehemu , show anapiga kwenye nchi za watu , endorsement ndo usiseme ....... Ina mana hayo yote hayamuingizii pesa ?? Mnakimbilia kujibanza Kwa akina Davido unafkr watawasaidia nn , jivunie cha kwenu hata kama amekupiga gap....!!! Sku zote mtanzania ni mtu wa chuki na husda Kwa waliofanikiwaHuyu ndugu yetu bana feki sana.
Uwekezaji wasafi tv pamoja na redio sina uhaķika kama 1.5bln zinafika,sasa sijui anawekeza wapi kwingine kama ambavyo anapenda kuzungumza.
Kuna mtu kule juu nilimwambia,billioni kumi za madafu,ishia tu kuziita madafu.ila ni pesa nyingi mno kwa kijana wa 30yrs,lazima kuna sehemu ataziexpose tu.kwa gari kali,ama nyumba kali sana.
Kuna nyumba anaitangaza dalali mwanamke mwaka sasa iko sala sala,inauzwa 1.4bln[emoji16][emoji16],ile nyumba ina hadhi ya msanii wetu namba moja kabisa,sijui kama hajaiona.
Kama angekuwa na huo ukwasi asingepanga huko madale awe anapigwa 2ml kila mwezi=24mln yr+plus ndinga kali hata 4 pale parking,sio hayo mavieite 3.
Kwa hyo unataka ainunue hyo nyumba ya sala sala ndo uamini ana hela ? [emoji3] Jamaa assert zake zinajulikana , Wasafi label ipo top ten Africa, Wasafi media inakimbiza Tz kuanzia live mpak online , nyimbo zake zinakimbiza kila sehemu , show anapiga kwenye nchi za watu , endorsement ndo usiseme ....... Ina mana hayo yote hayamuingizii pesa ?? Mnakimbilia kujibanza Kwa akina Davido unafkr watawasaidia nn , jivunie cha kwenu hata kama amekupiga gap....!!! Sku zote mtanzania ni mtu wa chuki na husda Kwa waliofanikiwa
Wewe ni kilaza wa kiwango cha SGR , sometyme kama hujui unaziba Kopo lako kuliko kuropoka utachekwa na watu mshamba kweli , endelea Tu na kazi yako ya udalali kwenye majumba ya wanaumeWasafi media iko topten africa katika kitu gani??embu jadili kama mtu timamu si shabiki maandazi.
Kulipwa 80mln show za nchi za watu,endorsement za elfu 6 kila baada ya sekunde,malipo youtube wastani wa 50 mln kwa nyimbo zake nyingi,yote ni maneno yake yeye mwenyewe,au chawa wake ndio wanaongea na kuyaandika.
Lakini maswali kwenye hayo hayawezi kujibiwa sababu nanyinyi mnajibanza kwenye kichaka cha hayo kutotuhusu waulizaji.
Kwenye swala la nyumba huo ulikuwa mfano tu,na nililinganisha thamani,ubora,na uzuri wa nyumba na mhusika,ila huwezi ona sababu unawaza kimasikini tu,kwamba kila mtu ni hater.
Huu uduanzi na maigizo uwe katika malengo ya biashara zaidi,shida ni nyinyi chawa wake mnapokomaa wakati hata hapo ofisini wengi wenu mishahara imekuwa kizungumkuti kwa stori kwamba mnapewa majina.
Azitoe wapi sasa hizo Mil 800 na wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa utajiri huu anashindwa nini kununua gari ya ndoto yake RR 2021 kama milion 800 na ushee iviView attachment 1797453