Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

Myself nimekuelewa
 
Aiseee umenena vema sana mkuu
 
Tajiri hatumii nguvu kujitangaza.

Pesa na mali zake zinatosha kumtangaza.
Nchi hii kuna matajiri mazee siyo takataka zenye kelele nyiingi.

Hawa hapa ulishawahi kuwaona hata kwenye TV πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Yaani watu walishtuka baada ya kununua million of shares za SafariCon Kenya.
 
Nchi hii kuna matajiri mazee siyo takataka na kelele nyiingi.

Hawa hapa ulishawahi kuwaona hata kwenye TV πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Yaani watu walishtuka baada ya kununua million of shares za SafariCon Kenya.
The guys are real riches.

Na hawana makelele mengi.

Mwendo wa kimya kimya.
 
Mzee baba umemaliza kila kitu uzi ulitakiwa uishie hapa hata me niliwaza kama wewe watu wasiojua biashara hawawezi kuliona Hili unakumbuka kuna kipindi Cha nyuma Diamond aliwahi kusema chini ya million 10 hawezi kufanya show kuna watu wakamdhiaki angalia now days thamani yake ilivyopanda.
 
Siyo huyu katika kulalamika hata Kanye West aliwai pia kuongea kisa Forbes kumtaja bilionea mwenye pesa kiduchu akati anazo kama 4 au tano
Mimi huwa nawaona ni wendawazimu tu.

Kanye West na Jay Z walikuwa marafiki sana ila baadaye urafiki wao ni kama ukafa.

Baadaye Forbes wenyewe wakafanya uchunguzi wao wakasema Jigga ni billionnaire. Kanye akaona yeye kimya, akawa anawafuata anawambia na yeye ni billionnaire mpaka mzigo wa receipt akachukua akawapelekea ndio wakamtangaza ila kwa kiwango kidogo kuliko ambacho mwenyewe alitamba anacho.

Sasa huu huwa ni uchizi plain.
 
Ndugu zangu wa JF napenda kuwakumbusha kuwa watu wenye akili kubwa hujadili kuhusu watu ila wenye akili ndogo hupenda kujadili vitu vya msingi. If you know you know.
 
Sina pesa ila ndomo mshamba sana bora angekaa kimya tu
Mwenzake anaangalia kibiashara zaidi hizo thamani walizopewa na forbes ndio zinadetermine mikataba watakaoingia na makampuni na ndio maana diamond hii issue ameikomalia na ukuangalia wasanii wengi wa nje wamemsapoti ila sisi tunalichulia kama vile analazimisha aonekane tajiri Sana.
 
Nchi hii kuna matajiri mazee siyo takataka na kelele nyiingi.

Hawa hapa ulishawahi kuwaona hata kwenye TV πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Yaani watu walishtuka baada ya kununua million of shares za SafariCon Kenya.
Hao wahindi mzee na ndio ma Tycoon wenye pesa ndefu hapa bongo
 
Kitu pekee diamond anataka ni kuwa juu ya akina davido hizo mambo zingine ni kumtetea tu anachotakiwa apambane

Kama una milioni 100 watu wakasema una milioni 50 haimaanishi kwamba zile hamsini zingine hazipo,Mimi naamini Akon ana zaidi ya kile walichoandika Forbes juzi lkn watu wapo kimya hata davido na wenzie watakuwa zaidi ya walichoandika Forbes...jamaa anataka aongelewe tu(KIKI)ndo maana kazua haya yote

Drogba na Don jazz kusaport tweet ya diamond wala si kwamba wao wanajua how rich diamond is hata mkali wenu huko nae anaandamana...kama diamond anataka Forbes wa value thamani yake zaidi ya pale ili brand yake ipande thamani basi hata huko Google alisema watu waende wakacheki utajiri wake hakuna cha maana kikubwa itabidi afanye editing upya taarifa zake...
 
Izo akaunti ni zao kweli???

Jamaa anasema tuulize google mie nimeuliza wameniletea forbes[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…