kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Wao walifikiria makalio hayo ndo ukuzwaji wa utalii Tanzania ndomana tunafeli mijiti ikiona demu mzuri tu inamsogeza ofsini..wehu kweli bora ndumbalo kagomewa mzigo ,kaamua moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alizindua pia na utalii wa misitu. Akasema eti wazungu watatoka Ulaya waende Chato kuangalia misitu ambayo ni mahindi na miche ya pamba.Swali la mwisho, mhe waziri ulitwambia mara ya mwisho kwamba Burigi ya Chato ndio kitovu cha utalii kanda ya ziwa, bado unamsimamo huo huo?
Yatosha!Hahahaa... Yameona
Wewe mrundi?Dah... Kweli watza ni mambumbumbu
😂Labda ukatoe kwanza hayo macho
Umi Mwalimu naye anasubiri nini kuwaachisha kazi Wakurugenzi wa Halimashauri nane zenye hati chafu na 54 zenye hati za mashaka? Tukichekea Nyani tutakula mabua.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za serikali.
CC - Kigwangallah.
View attachment 1748260
BIOGRAPHY
Devota Mdachi started working with TTB in 1994 and was first employed as Tourist Information Officer, at the TTB Branch Office in Arusha. In 1998, she was transferred to Dar es Salaam, and was attached to the Tourist Information Centre.
Since then she has worked in various positions at TTB as Senior Tourist Information Officer, Principal Tourist Information Officer, Head of the Dar es Salaam Tourist Information Centre, Principal Marketing Officer, Director of Marketing, and finally Managing Director in 2016.
She is the first Tanzanian woman to hold the positions of Director of Marketing and Managing Director of the TTB. She holds a BA in international relations and advanced French language from the University of Dar es Salaam (1991); an MA in tourism from the Open University of Tanzania (2008), and post-graduate certificate in tourism from the International School of Tourism, Rome (2000).
Ulijuaje kama wewe hukufanywa?alianza kama information officer?anaonekana amehonga sana rushwa ya ngono hadi kufika hapo
Hamisi inabidi achukuliwe hatua, mpaka muda huu ilitakiwa Hamisi awe chini ya ulinziWaziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za serikali.
CC - Kigwangallah.
BIOGRAPHY
Devota Mdachi started working with TTB in 1994 and was first employed as Tourist Information Officer, at the TTB Branch Office in Arusha. In 1998, she was transferred to Dar es Salaam, and was attached to the Tourist Information Centre.
Since then she has worked in various positions at TTB as Senior Tourist Information Officer, Principal Tourist Information Officer, Head of the Dar es Salaam Tourist Information Centre, Principal Marketing Officer, Director of Marketing, and finally Managing Director in 2016.
She is the first Tanzanian woman to hold the positions of Director of Marketing and Managing Director of the TTB. She holds a BA in international relations and advanced French language from the University of Dar es Salaam (1991); an MA in tourism from the Open University of Tanzania (2008), and post-graduate certificate in tourism from the International School of Tourism, Rome (2000).
Nimeumia sana mdada mrembo kama huyu kusimamishwa kazi. Mama msamehe tu huyo binti yako.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za serikali.
CC - Kigwangallah.
BIOGRAPHY
Devota Mdachi started working with TTB in 1994 and was first employed as Tourist Information Officer, at the TTB Branch Office in Arusha. In 1998, she was transferred to Dar es Salaam, and was attached to the Tourist Information Centre.
Since then she has worked in various positions at TTB as Senior Tourist Information Officer, Principal Tourist Information Officer, Head of the Dar es Salaam Tourist Information Centre, Principal Marketing Officer, Director of Marketing, and finally Managing Director in 2016.
She is the first Tanzanian woman to hold the positions of Director of Marketing and Managing Director of the TTB. She holds a BA in international relations and advanced French language from the University of Dar es Salaam (1991); an MA in tourism from the Open University of Tanzania (2008), and post-graduate certificate in tourism from the International School of Tourism, Rome (2000).
Ngoja tuone... Kuna mkubwa zaidi..Hamisi inabidi achukuliwe hatua, mpaka muda huu ilitakiwa Hamisi awe chini ya ulinzi