Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Haya mambo ya kufumba macho ndiyo yanafikisha Taifa hapa tulipoNgoja tuone... Kuna mkubwa zaidi..
Mama inabidi afumbe macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo ya kufumba macho ndiyo yanafikisha Taifa hapa tulipoNgoja tuone... Kuna mkubwa zaidi..
Mama inabidi afumbe macho
Inaonekana na ww umetoa sana rushwa ya ngono kwa mods kuingia JFalianza kama information officer?anaonekana amehonga sana rushwa ya ngono hadi kufika hapo
Bi Devotha Mdachi amesimashwa kazi ili kupisha uchunguzi baada ya kuwepo kwa matumizi mabaya ya pesa za umma. Lakini aliyekuwa waziri kipindi hicho bado yupo tu mitaaniView attachment 1748313
Kama Mama yuko serious.. Tuachane na haya.Haya mambo ya kufumba macho ndiyo yanafikisha Taifa hapa tulipo
Ni Nani!?Vivyo hivyo kwa msaidizi namba moja wa mwenda zake.
Ni Nani!?
Kwa hiyo mkuu kwa sababu huyo dada kwako ni mrembo sana basi hatkiwa kuwajibishwa?Jikite kwenye mada iliyopo mezani na jamvini. Too much blah blah
Huyox2 chalii yanguHuyu si anakaa Kibaha gogoni au nimemfananisha?
Acha ukichaa watu hawakurupuki wewe umejuaje hana hatua?Huu ni uonevu wa hali ya juu,sioni tatizo la huyu mdada Devotha Mdachi,huyu Damas Ndumbaru aache uongozi wa kishamba na ubabe usiokuwa na maana na viongozi kama yeye wanastahili kuondolewa mapema kabla hawajaleta madhara.Anashindwa nini kumkamata mtangulizi wake Hamis Kigwangala anakwenda kudeal na mtu asiye na hatia? Hili jamaa Ndumbaru la ovyo Sana.