Kufuatia ripoti ya CAG, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi asimamishwa kazi

Wao walifikiria makalio hayo ndo ukuzwaji wa utalii Tanzania ndomana tunafeli mijiti ikiona demu mzuri tu inamsogeza ofsini..wehu kweli bora ndumbalo kagomewa mzigo ,kaamua moja
 
Swali la mwisho, mhe waziri ulitwambia mara ya mwisho kwamba Burigi ya Chato ndio kitovu cha utalii kanda ya ziwa, bado unamsimamo huo huo?
Alizindua pia na utalii wa misitu. Akasema eti wazungu watatoka Ulaya waende Chato kuangalia misitu ambayo ni mahindi na miche ya pamba.

Aulizwe kama bado ana mawazo haya.
 
Huyu Kingwaboy tunammudu akiwa na nafasi yake hiyo ya ubunge
 
alianza kama information officer?anaonekana amehonga sana rushwa ya ngono hadi kufika hapo
 
Mambo mambo hayo..tena yanafurahisha..waliwezaje kuiba kwenye Serikali iliyokuwa haina wizi hata kidogo?
 
Umi Mwalimu naye anasubiri nini kuwaachisha kazi Wakurugenzi wa Halimashauri nane zenye hati chafu na 54 zenye hati za mashaka? Tukichekea Nyani tutakula mabua.
 
Huyo dada katolewa kafara japo hajafukuzwa kazi, madudu ya hiyo wizara yote yalianzia kwa Kigwangala hao wengine walikuwa wanafata maamuzi ya bosi wao.

Ndio maana yule katibu mkuu alikuwa anamkomalia Kigwangala sababu alikuwa hataki ujinga, mpaka Magufuli akawaambue waache tofauti zao.
 
No NoNooo....

Haya ni Matawi.

Kijazi alikuwa na cheo gani hapoo!!?

Usikute huyu alipokea Orders..

Nooo
 
Hamisi inabidi achukuliwe hatua, mpaka muda huu ilitakiwa Hamisi awe chini ya ulinzi
 

Kuna za chini chini ( nilitonywa Kitambo tu na walio karibu nae Kiutendaji ) zimhusuyo huyu Mama na huo Wadhifa mpaka Jeuri na Nyodo alizokuwa nazo, ila sasa ngoja tunyamaze kwakuwa hata Mhusika hatunae tena Kibinadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…