Ili kupata chanjo inayoeleweka si chini ya miaka 10.Wataalam wanasema chanjo zote zilizoko duniani zilipatkana hivyo.Tuchanje kwa kulazimishana pale tu itakapopatikana chanjo moja inayoeleweka na itakayoonesha matokeo makubwa. Kuna nchi mpaka Sasa wamechanja chanjo sita! Na bado tatizo lipo, Tanzania waliotangulia wapo wenye chanjo tatu, mbili, moja na zero.
Kwakua hatujafikia hatua mbaya ya maambukizi tuendelee kubembelezana na kuombana na chanjo ibaki kuwa hiari.
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona.
Sichanji ng^o na hakuna wa kunilazimisha. Kama wewe umechanja na hauko salama maana yake umeingia mkenge. Kinachokuuma ni nini kama sio wivu kwa wasiochanja? Usalama wa wasiochanja haukuhusu wewe hangaika na usalama wako tu kama vile sisi tusiochanja tunavyohangaika na usalama wetu bila kuwahusisha nyinyi mliochanja.Ahangaiki kama unavyotaka kutuaminisha concern yake ni nini kifanyike ili sote tuwe salama..we kama hutaki kuchanja kimpango wako lakini itafika nyakati utakosa ku-access baadhi ya vitu/ huduma..kama ilivyokua kwa barakoa tu!
Huyo huwa unaangalia tumbo lake ila huwahafanikiwiKabla ya kuandika haya uliyoyaandika kuna maswali kama journalist ulipaswa kujiuliza.
1. Huko tunapoita kwa wenzetu wamefanikiwa kuondoa tatizo?,
2. Je , tangia wameanza kuchanja kwa zaidi ya asilimia 80 ya watu wao tatizo limeongezeka au limepungua ?
3. Je, tunachanja as a matter of fashion au tunachanja kukabiliana na tatizo ambalo data zote zinaonyesha chanjo zimeshindwa kulikabili?
4. Vipi kuhusu utaratibu wa boosters , tutawamambiaje watu kurudia kuchanja kwa mara ya pili wakati wenzetu waliochanja kwa lazima na boosters juu bado imeshindikana?
5. Tafiti zinaonyesha jamii ya watu weusi hataa huko US ndio wamechanjwa kwa uchache wengi wakipinga hiyo chanjo, vipi kuhusu Tz yenye majority weusi , unategemea watakubali kirahisi tu!?
Yupo kazini! Usimuone hivyo, ohoooo! Sijui atanipa like ama thanks mleta mada au hatanipa?Huyu Jamaa kumbe kichwani hamna kitu! Mwandishi unaandika pumba kama hizi za kuamsha hasira za watu kweli!
Utaona ulichanjwa sio kujikinga na Corona, bali ili usafiri. Sijui sayansi gani hii.Mkuu suala la chanjo ni hiyari lakini... kuna safari za nje ya nchi kwenda ni vigumu bila kuchanja.
Mimi almanusura nikose safari muhimu ya Ufarasa kwa kumisplace cheti changu cha uthibitisho wa chanjo!!
Nilifikiri utasema itafika nyakati sote tusiochanjwa tutakufa Corona hahahahhah,kumbe ni habari za kuaccess huduma mbalimbali. Ifike mahali tujitambue, Kazi ya chanjo ni kukukinga wewe na Ugonjwa flani,Ukiona mtu anaforce uchanje na kama hutaki anakuambia hutpata huduma flani jua Chanjo hiyo ina kusudio nje ya kukukinga. Wewe umechanja na uko salama, unawashwa nini na mimi nisiyechanjwa?Tangu lini swala la Afya ya mtu binafsi ikawa ni LAZIMA na shuruti?Ahangaiki kama unavyotaka kutuaminisha concern yake ni nini kifanyike ili sote tuwe salama..we kama hutaki kuchanja kimpango wako lakini itafika nyakati utakosa ku-access baadhi ya vitu/ huduma..kama ilivyokua kwa barakoa tu!
Chanjo ya Uviko ni hiyari yenye lazima ndani yake.
Nina uhakika hapa TZ tukichanja na kufika % flani tutaanza kuweka restrictions kwenye baadhi ya maeneo itakayopelekea kila mmoja kuchanja kwa lazima.
Ngoja tuone ila soon hadi wafuasi wa kinjekitile watasadiki.
Siyo kweli corona haisumbui Ulaya na Marekani kama mwanzoKabla ya kuandika haya uliyoyaandika kuna maswali kama journalist ulipaswa kujiuliza.
1. Huko tunapoita kwa wenzetu wamefanikiwa kuondoa tatizo?,
2. Je , tangia wameanza kuchanja kwa zaidi ya asilimia 80 ya watu wao tatizo limeongezeka au limepungua ?
3. Je, tunachanja as a matter of fashion au tunachanja kukabiliana na tatizo ambalo data zote zinaonyesha chanjo zimeshindwa kulikabili?
4. Vipi kuhusu utaratibu wa boosters , tutawamambiaje watu kurudia kuchanja kwa mara ya pili wakati wenzetu waliochanja kwa lazima na boosters juu bado imeshindikana?
5. Tafiti zinaonyesha jamii ya watu weusi hataa huko US ndio wamechanjwa kwa uchache wengi wakipinga hiyo chanjo, vipi kuhusu Tz yenye majority weusi , unategemea watakubali kirahisi tu!?
Kutukana wenzako ni point?Ban gani tena yani unawaona viongozi wa JF kuwa ni wapumbaaavu wa kupiga ban point kama hizi
Chanja acha utotoHuyu Jamaa kumbe kichwani hamna kitu! Mwandishi unaandika pumba kama hizi za kuamsha hasira za watu kweli!
Rusha ka video tukaoneAngalia hii video, utajua kuwa UVIKO-19, ni ya kutengeneza.
Na hatuwezi kwenda kwa akili za "ki Pasco Mayalla" tukafanikiwa.
C - Coronavirus
O - Omnicron virus
V - ?????
I - Ihu virus
D - Delta virus.
Haya chanjeni, bado hiyo "V" inakuja. Mtapiga booster! Shenzi kabisa..
Wewe kama umechanja mara moja basi ujue mzungu kachanja zaidi ya mara3 hivyo siku si nyingi watasema asiye fikisha dozi 3 kama wao awamtambuiChanjo iwe ni lazima hakuna namna