Hivi sijui ni format ya video ndo imekataa, naweka inakuwa sauti tu..Rusha ka video tukaone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi sijui ni format ya video ndo imekataa, naweka inakuwa sauti tu..Rusha ka video tukaone
Mhu! Nadhani unaongea siyo kwa sababu una ushahidi wowote wa jambo unaloliongelea, bali kwa sababu umeona ili mjadala usikupite ni heri useme hivi hata kama hujasema chochote (yaani hamna kitu au seti tupu). Pole sana.Pascal mayalla kwanini unajivunjia heshima kirahisi namna hii.
Bora ubaki na njaa lakini uendelee kuzeeka na heshima yako.
Sazingine jaribu kufikiri kabla hujaandinga vitu visivyo eleweka hauitaji akili nyingi kugundua chanjo ni dili.
Wazungu wameangalia fursa ya kupigawatu nasisi tunataka kuingia kichwakichwa, icho kisentence cha hiyari ya lazima sijui maanayake ni kitugani.
Mhu! Nadhani unaongea siyo kwa sababu una ushahidi wowote wa jambo unaloliongelea, bali kwa sababu umeona ili mjadala usikupite ni heri useme hivi hata kama hujasema chochote (yaani hamna kitu au seti tupu). Pole sana.