#COVID19 Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa Baadhi ya Kada, Kuna Haja ya Kuanzisha Hiyari ya Lazima, Watu Wachanje Kwa Lazima au Tuendelee Kubembelezania Hiyari?

Kuna wengine hawajachanja na maisha yanaendelea kama kawaida tu
 
Pascal mayalla kwanini unajivunjia heshima kirahisi namna hii.
Bora ubaki na njaa lakini uendelee kuzeeka na heshima yako.
Sazingine jaribu kufikiri kabla hujaandinga vitu visivyo eleweka hauitaji akili nyingi kugundua chanjo ni dili.

Wazungu wameangalia fursa ya kupigawatu nasisi tunataka kuingia kichwakichwa, icho kisentence cha hiyari ya lazima sijui maanayake ni kitugani.
Mhu! Nadhani unaongea siyo kwa sababu una ushahidi wowote wa jambo unaloliongelea, bali kwa sababu umeona ili mjadala usikupite ni heri useme hivi hata kama hujasema chochote (yaani hamna kitu au seti tupu). Pole sana.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom