Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mbona umepanic namna hii ??? 🤣🤣🤣Hiyo ni ndoto ...day to day chanjo inathibitika kua ni upumbaavu ,kwanini nyinyi mnao lilia chanjo mmechanja moja wakati mabasha wenu wamechanja zaidi ya mara 3 ,kwanini Rais kaacha kuchanja maana wazungu wanaelekea dozi ya 4 ya chanjo ....ukweli ni kwamba japo Rais tuliye naye ni mpuuzi kichwani ila kwa hili hata yeye kagundua alikurupuka ndiyo maana sikuizi kanyamaza kimya baada ya kugundua mambo kadha wa kadha
1) kugundua kuwa walio chanja wanakufa kwa namna mbili, moja chanjo yenyewe inaua mbili wakipata covid bado wanakufa
2)kugundua kuwa ili kuendana na mkumbo wa dunia itambidi yeyevmwenyewe achanje zaidi ya mara 3 kama wanavyo fanya mabeberu
3) baada ya wana sanyansi kuthibitisha kuwa wasio chanja ila wamepitia hatua zote za maambukizi ya covid wanakuwa wanakinga madhubuti ya asili kuliko walio chanja
Hizi ndizo sababu zilizo mfanya rais kuachana kushobokea chanjo hadi kumuondoa waziri Ngwajima na kumweka ummi mwalimu kuwa waziri wa afya kwa sababu kagundua kosa la kulazimisha chanjo kwa nguvu.hivyo kamweka waziri mtulivu ili kukava kosa walilo fanya,
SASA WEWE BOYA Pascal Mayalla mwandishi zuzu mkuu unatuambia ujinga gani kwani ujui kuwa MABASHA WENU WAMEFIKISHA DOZI YA TATU YA CHANJO MBONA NYINYI MNAO SHABIKIA CHANJO TZ AMJAENDANA NA MATAKWA YA MABASHA WENU WAZUNGU YA KUCHOMA KILA MMOJA ZAIDI YA MARA 3
Hebu relax, punguza jazba alafu fanya upate kifungua kinywa.