#COVID19 Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa Baadhi ya Kada, Kuna Haja ya Kuanzisha Hiyari ya Lazima, Watu Wachanje Kwa Lazima au Tuendelee Kubembelezania Hiyari?

Mbona umepanic namna hii ??? 🤣🤣🤣

Hebu relax, punguza jazba alafu fanya upate kifungua kinywa.
 
Mbona umepanic namna hii ??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hebu relax, punguza jazba alafu fanya upate kifungua kinywa.
Wewe unijui mm jf kuna mtu alikuwa na sifa bora hapa jf hadi wakenya walikuwa wanamuhusudu alikuwa geza ulole,kapambana na mimi sikuizi sifa zimeporomoka watu wamemjua kuwa ni zuzu tu sasa wewe mwache huyo Pascal Mayalla nimuonyeshe kazi na huu ujinga wake wa chanjo feki,
 
Mtu hasemi usipochanjwa utakufa, ye anasema usipochanjwa huendi Ulaya mara hutapata huduma mbalimbali. Yaani Hajui nini maana ya chanjo
Tanzania tunamazuzu wengi sana tena kibaya wengi wapo kwenye uongozi ,vibaraka wa chanjo wamepoteza hoja kabisa sikuizi ,wamejaa uchungu kutuona sisi atujachanja kana kwamba wanauchungu na maisha yetu sana ,
 
Kwani uliskia kwamba chanjo ni tiba? ama ina tibu covid? Chanjo haiondoi tatizo ila inakupa guarantee incomparison kwa nyie msiochanja!!
Collins Powell alikuwa amechanja chanjo mbili ameuliwa na covid19,madaktari nchi ghana wamemwomba rais wao Nana Addo asitishe chanjo,jirani zangu hapa maeneo yetu watatu wamefariki baada ya kupata chanjo ya Kwanza,kiufupi sitaki kubahatisha.
 
Toka ume "chanjwa" hali yako imekuwa al dhoofu ki kifikra. Umezidi kupata shida....Unaandika madudu na mharo. Vipi Gwajima Ameshaondolewa kule Kawe? Ile Kampeni yetu imeishia wapi? Mayala means njaa ...
 
Utaona ulichanjwa sio kujikinga na Corona, bali ili usafiri. Sijui sayansi gani hii.
Ungejua sayansi ya #chanjo usingesema unachokisema hapa!
Na muhimu kujua kwa sasa ni kuwa ugonjwa unaathiri binadamu wa maeneo tofauti kwa namna tofauti.
Hivi wewe umechanja hata yellow fever?? Au unasubiri uugue ufe ndo uchanje??

#Chanjo ni hiyari isiyo hiyari!
 
Mtu hasemi usipochanjwa utakufa, ye anasema usipochanjwa huendi Ulaya mara hutapata huduma mbalimbali. Yaani Hajui nini maana ya chanjo
Rudi darasani usome sayansi ya #chanjo!
Kwa kuwa umezoea sana mbu hutoona hatari ya Malaria. Kwa kuwa umejenga usugu juu ya kipindupindu hutoona umuhimu wa chanjo yake!
Kwa kuwa huna taarifa sahihi kuhusu TB wala hutojiangaisha na chanjo!

NB: Ukielewa umuhimu wa #chanjo hutobishana!

Mbona chale mpo tayari kuchanjwa??
 
Wewe ndio urudi darasani. Kama unajua kazi ya chanjo huwez shabikia huu upumbavu wa chanjo unaoendelea.
 
Toka ume "chanjwa" hali yako imekuwa al dhoofu ki kifikra. Umezidi kupata shida....Unaandika madudu na mharo. Vipi Gwajima Ameshaondolewa kule Kawe? Ile Kampeni yetu imeishia wapi? Mayala means njaa ...
Hatari sana hii...
Kwamba kumbe kuna watu walikuwa wanasubiria kuona madhara kwa waliochanja na wasiochanja!

Niseme tu kuwa Covid-19 imewaathiri watu kwa namna isiyomithilika. Mshukuru sana Mungu kama wewe upo salama!
Hivyo usiwadharau wala kuwanyanyapaa waliochukua hatua kujiimarishia kinga!
 
 
Kuchanja ni lazima.
Kesho naenda chanja , chanjo ya pili ya Pfizer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…