Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Mambo magumu sana. Kwani mkataba unasoma miaka mingapi? 😁Kwani hapo limetumika mwanzo wa sentensi, wee jamaa bhana...
NB: initial letter zote za proper nouns huwa capitalized pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo magumu sana. Kwani mkataba unasoma miaka mingapi? 😁Kwani hapo limetumika mwanzo wa sentensi, wee jamaa bhana...
Huwezi kung'amua chochote kwenye hili bandiko langu kwa sababu huna ufahamu huo, jitahidi kutoboa kwenye elimu maana hicho kichwa kitaishia kufuga nywele.Akili za kuambiwa changanya tumia na zakwako kwanini ulazimishe pesa ya nchi nyingine itawale kwenye nchi yako huo ni utumwa ulishawahi sikia wenye dolla wanasema shilingi kwenye benki zao zimekosa hesabu ni ndogo naenda china uko kwenye nchi yangu nakupa pesa yangu nikifika kwako nachenji unanipa ya nchi yako kazi ni ndogo tuache utumwa
Putin kaziweka mfukoni?Tarehe 08 Juni 2023 nilienda katika benki moja kubwa TU hapa nchini,ambayo kwa miaka yote ya kazi zangu hua naitumia kwa ajili ya malipo ya ununuzi wa nje ya nchi.
Nikiwa na fomu zangu za TT kwa ajili ya kufanya malipo kwa fedha ya USD niliambiwa,"unafahamu kua hakuna usd?".
Hakuna USA Kwa zaidi ya wiki mbili Sasa"je unaweza kulipa kwa Yuan? Maana hizo tunazo nyingi".
Niliwaeleza umuhimu wa shida yangu,wakaanza kupigana simu ofisini,mazungumzo yalikua ni kua hakuna USD.
Maneno waliyokua wakiongea hawakujua kama najua kinachoendelea duniani.
Sitaki kusema mengi lakini USD imeadimika.
Nasikia hata wabunge walihoji Hali hiyo.
Je Putin ndio chanzo Cha kuadimika Dola au,wachumi naomba mje mtoe ufafanuzi plz.
Tatizo kubwa liko ndani mwenu Acheni kuisingizia Marekani! Mbona hatujawasikia walioko huko kuyaona haya?31 May 2023
Mwigulu Lameck Nchemba waziri wa fedha afafanua sababu za uhaba dola za Kimarekani nchini Tanzania
DKT. NCHEMBA AWAAGIZA WATAALAM WA UCHUMI WA KITAIFA NA KIMATAIFA KUTAFUTA SULUHU YA UPUNGUFU WA DOLA ZA MAREKANI KATIKA SOKO LA FEDHA
31 May, 2023
Dodoma, Tanzania
![]()
Na Farida Ramadhani-Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewaagiza wataalamu wa Wizara ya Fedha na Mipango na ujumbe kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kujadili namna ya kushughulikia athari za upungufu wa dola za Kimarekani katika mzunguko wa fedha ili kunusuru uchumi wa nchi zinazoendelea.
Mhe. Dkt. Nchemba (Mb) ametoa maagizo hayo wakati wa kufungua kikao kilichowashirikisha wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) unaoongozwa na Bw. Harris Tsangaride waliowasili nchini kwa ajili ya kufanya tathimini ya Program ya Huduma za Mikopo - Extended Credit Facility (ECF) (EFC), kwa kushirikiana na wataalam wa ndani wa Serikali.
Alisema mabadiliko ya Sera za Fedha nchini Marekani ya kubana matumzi na kupunguza dola kwenye mzunguko wa fedha, yameleta athari zinazoonekana mpaka kwenye nchi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania.
"Tumekuwa tukirejea Covid-19 / Uviko na vita baina ya Urusi na Ukraine kama moja ya vitu vinavyoathiri uchumi wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania lakini upungufu wa dola unaathiri uchumi kwa kiwango kikubwa ikiwemo uagizaji wa mafuta na uagizwaji wa bidhaa mbalimbali zinazotumika katika shughuli za Sekta Binafsi", alisema Dkt. Nchemba.
Alisema ni vema kutafuta namna ya kushughulikia jambo hilo kisera ili kunusuru nchi zinazoendelea kwa kuwa sekta ya nje ni muhimu katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa ndani.
Kwa upande wake Kiongozi wa ujumbe kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Harris Tsangaride, alisema Shirika hilo litaendelea kushirikiana na Tanzania ili kuhakikisha nchi inaendelea kupiga hatua kiuchumi na kijamii.
Bw. Harris Tsangaride amepongeza Serikali kwa Sera zake nzuri ambazo zinaendelea kutekelezwa katika kukabiliana na athari za vita ya Ukraine na kuongeza kuwa ni matarajio yao kuwa zitaendelea kuchokea ukuaji wa uchumi na maisha ya wananchi.
Bw. Tsangaride alisema Tanzania ni miongoni mwa nchi chache katika kanda ambazo zinafanya vizuri katika kutekeleza programu mbalimbali kwa kushirikiana na Shirika hilo na hivyo katika kikao hicho watajadiliana namna bora ya kuendelea kuiona nchi ikifanya vizuri zaidi.
Mwisho.
Source :
Tovuti ya wizara ya fedha tanzania
More info :
Country Report No. 2023/153
United Republic of Tanzania: 2023
Article IV Consultation and First Review Under the Extended Credit Facility (ECF) Arrangement -Press Release; Staff Report; and Statement by the Executive Director for the United Republic of Tanzania
Spillovers from the war in Ukraine and shortfalls in rainfall stalled Tanzania’s recovery from the COVID-19 pandemic. Despite fuel and fertilizer subsidies, inflation has picked up in recent months, approaching the Bank of Tanzania’s target. External balances deteriorated significantly last year due in large part to spillovers from the war in Ukraine.
Series:
Country Report No. 2023/153
Subject:
International organization Monetary policy
Source : United Republic of Tanzania: 2023 Article IV Consultation and First Review Under the Extended Credit Facility Arrangement-Press Release; Staff Report; and Statement by the Executive Director for the United Republic of Tanzania
Hakuna anaekulazimisha, system ilivyowekwa ndio inakulazimuAkili za kuambiwa changanya tumia na zakwako kwanini ulazimishe pesa ya nchi nyingine itawale kwenye nchi yako huo ni utumwa ulishawahi sikia wenye dolla wanasema shilingi kwenye benki zao zimekosa hesabu ni ndogo naenda china uko kwenye nchi yangu nakupa pesa yangu nikifika kwako nachenji unanipa ya nchi yako kazi ni ndogo tuache utumwa
Tatizo kubwa liko ndani mwenu Acheni kuisingizia Marekani! Mbona hatujawasikia walioko huko kuyaona haya?
Ninyi wenyewe mnaficha kwa ajili ya uchaguzi 2025!
Mnafanya hata wafanyibiashara kutokumudu kazi zao.
Huku mnapitisha mikataba Hovyo!
Ninyi mbona hambanani kwenye posho za kila siku bungeni?.
Athenian kulitafuna Taifa hili.
Akili za kuambiwa changanya tumia na zakwako kwanini ulazimishe pesa ya nchi nyingine itawale kwenye nchi yako huo ni utumwa ulishawahi sikia wenye dolla wanasema shilingi kwenye benki zao zimekosa hesabu ni ndogo naenda china uko kwenye nchi yangu nakupa pesa yangu nikifika kwako nachenji unanipa ya nchi yako kazi ni ndogo tuache utumwa
Ndo nimeuliza sasaPutin kaziweka mfukoni?
.Tarehe 08 Juni 2023 nilienda katika benki moja kubwa TU hapa nchini,ambayo kwa miaka yote ya kazi zangu hua naitumia kwa ajili ya malipo ya ununuzi wa nje ya nchi.
Nikiwa na fomu zangu za TT kwa ajili ya kufanya malipo kwa fedha ya USD niliambiwa,"unafahamu kua hakuna usd?".
Hakuna USA Kwa zaidi ya wiki mbili Sasa"je unaweza kulipa kwa Yuan? Maana hizo tunazo nyingi".
Niliwaeleza umuhimu wa shida yangu,wakaanza kupigana simu ofisini,mazungumzo yalikua ni kua hakuna USD.
Maneno waliyokua wakiongea hawakujua kama najua kinachoendelea duniani.
Sitaki kusema mengi lakini USD imeadimika.
Nasikia hata wabunge walihoji Hali hiyo.
Je Putin ndio chanzo Cha kuadimika Dola au,wachumi naomba mje mtoe ufafanuzi plz.
.Tatizo kubwa liko ndani mwenu Acheni kuisingizia Marekani! Mbona hatujawasikia walioko huko kuyaona haya?
Ninyi wenyewe mnaficha kwa ajili ya uchaguzi 2025!
Mnafanya hata wafanyibiashara kutokumudu kazi zao.
Huku mnapitisha mikataba Hovyo!
Ninyi mbona hambanani kwenye posho za kila siku bungeni?.
Athenian kulitafuna Taifa hili.
Hahahaaa!Tarehe 08 Juni 2023 nilienda katika benki moja kubwa TU hapa nchini,ambayo kwa miaka yote ya kazi zangu hua naitumia kwa ajili ya malipo ya ununuzi wa nje ya nchi.
Nikiwa na fomu zangu za TT kwa ajili ya kufanya malipo kwa fedha ya USD niliambiwa,"unafahamu kua hakuna usd?".
Hakuna USA Kwa zaidi ya wiki mbili Sasa"je unaweza kulipa kwa Yuan? Maana hizo tunazo nyingi".
Niliwaeleza umuhimu wa shida yangu,wakaanza kupigana simu ofisini,mazungumzo yalikua ni kua hakuna USD.
Maneno waliyokua wakiongea hawakujua kama najua kinachoendelea duniani.
Sitaki kusema mengi lakini USD imeadimika.
Nasikia hata wabunge walihoji Hali hiyo.
Je Putin ndio chanzo Cha kuadimika Dola au,wachumi naomba mje mtoe ufafanuzi plz.
Sasa kama imepoteza hadhi inatafutwa ya nini. Ina hadhi ndio maana inatafutwa sana.