Kufuatia upungufu wa dola, BoT yatoa maelekezo ya kudhibiti Viwango Vya Miamala

Kufuatia upungufu wa dola, BoT yatoa maelekezo ya kudhibiti Viwango Vya Miamala

Prof Handley Mpoki Mafwenga atoa nondo za kuivusha Tanzania. Achambua Uchumi, Kilimo, Mikopo kwa kina na nini kifanyike


Aendelezea kwanini mazao ya kilimo yanayouzwa nje yakiwa ghafi hayalipi. Pia kuwa Entertainment industry yaani usanii Tanzania ni kubwa kuliko sekta ya kilimo cha Tanzania katika kulipa kodi , ..... nini kifanyike ambacho hatujui ..


Prof Handley Mpoki Mafwenga : Bio:
Ph.D(fin), Ph.D(Juris), Ph.D(Bs), MSc(fin), MBA(Mg.Economics), LL.M(Tax) LL.M (Procedural Law & international Legal Practice), PGDip(Tax), LL.B(Hons), ADDip(Taxation)
 
Kwani wachumi wetu na Gavana wa BOT,wanashauri nini, namna ya kujikwamua kutoka kwenye mkwamo huo.?
Hawana uwezo wa kujikwamua kwani hawana maarifa ya kifedha kwa hiyo wamechelewa kuweka mikakati wafunge mikanda tu. Wamwambi waziri duniani kuna reserve ya dollar 8 trillion hakuna uhaba akizitafuta atazipata. Wataalamu wakusaidia wako IMF na world bank wawatumie vizuri na wawasikilize ushauri kwa makini.Nashauri Wawe na Gold reserve yao itasaidia sana kuimarisha thamani ya shilling
 
Marten Lumbanga aweka wazi maamuzi magumu aliyofanya rais Benjamin Mkapa kurekebisha uchumi



Rais Mkapa alisikiliza na kuheshimu ushauri aliopewa na wasaidizi wake katika masuala ya uchumi, kodi, kujenga taasisi imara za kuisaidia serikali kuu anabainisha katibu mkuu kiongozi balozi Marten Lumbanga.

Kiasi kuwa bei ya bidhaa ziliteremka bei na wananchi waliisikia nafuu hiyo pia kupata afueni anasimulia kiongozi mstaafu huyo wa ngazi za juu.

Katika kumsaidia kiongozi wa nchi wataalamu walikuja na mapendekezo katika masuala ya Financial sector reforms, Public sector reforms, Legal sector reforms, hali ya mapato serikalini, matumizi ya serikali .. ili serikali iweze kuwa imeweka mazingira mazuri ya kiuchumi kama nchi na pia kwa raia wake
 
Marten Lumbanga aweka wazi maamuzi magumu aliyofanya rais Benjamin Mkapa kurekebisha uchumi



Rais Mkapa alisikiliza na kuheshimu ushauri aliopewa na wasaidizi wake katika masuala ya uchumi, kodi, kujenga taasisi imara za kuisaidia serikali kuu anabainisha katibu mkuu kiongozi balozi Marten Lumbanga.

Kiasi kuwa bei ya bidhaa ziliteremka bei na wananchi waliisikia nafuu hiyo pia kupata afueni anasimulia kiongozi mstaafu huyo wa ngazi za juu.

Katika kumsaidia kiongozi wa nchi wataalamu walikuja na mapendekezo katika masuala ya Financial sector reforms, Public sector reforms, Legal sector reforms, hali ya mapato serikalini, matumizi ya serikali .. ili serikali iweze kuwa imeweka mazingira mazuri ya kiuchumi kama nchi na pia kwa raia wake

Mkapa alisikiliza ushauri wa world bank na IMF vizuri akasaidiwa uchumi ukanyanyuka hela za budget support zilikuwa nyingi wakati wa Kikwete zikawa zinaibiwa na kutumiwa vibaya mrija ukakauka basi kwa hiyo sio rahisi tena kupata hela za mteremko kama wakati itabidi nchi ibadilike
 
USHAURI

GAVANA TOA MAELEKEZO MALIPO NA TOZO KTK TAASISI ZA UMMA KAMA TPA (Port charges,etc) ZILIPWE KWA FEDHA ZA TANZANIA..HATA KWA MIZIGO INAYOKWENDA NCHI JIRANI.

❇️SI SAWA KWA TAASISI ZA UMMA NA ZA KIMKAKATI KUCHAJI WATEJA NA KUWALAZIMISHA KULIPA KWA DOLA.HILI LINACHOCHEA MAHITAJI YASIO YA LAZIMA YA UNUNUZI WA FEDHA ZA KIGENI HIVYO KUPELEKEA DEMAND KUWA JUU..

WATEJA WAKUBWA WA KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI KTK BANK ZA KATI KATI YA JIJI LA DAR NI MAKAMPUNI YA SHIPPING NA UWAKALA WA FORODHA NA WENGINEO.

❇️PILI KAMPUNI ZA UUZAJI MAGARI ZENYE ASILI YA JAPANI,KUNA KAMPUNI NYINGI TOKA JAPANI ZIMEFUNGUA MATAWI YA KUUZA MAGARI HAPA NCHINI (BRANCH OFFICES)..ZILAZIMISHWE KUUZA KWA FEDHA ZA KITANZANIA KUEPUKA KUONGEZA DEMAND YA DOLA KTK SOKO (REFERENCE CAN BE MADE ON MONTHLY REMITTANCE PERTAINING TO VEHICLE IMPORTS FROM JAPAN).

❇️KODI ZA NYUMBA NA OFISI,KUTOLEWE MALUFUKU KWA KODI KULIPWA KWA DOLA HAPA TANZANIA HILI LITAPUNGUZA MAHITAJI YASIO YA LAZIMA YA DOLA HASA KWA WALIPAJI AMBAO VYANZO VYAO VYA MAPATO NI KWA FEDHA ZA KITANZANIA.

❇️FEDHA KUTOKA NCHI JIRANI,KWA KUZINGATIA KIGEZO CHA TANZANIA KUWA KITOVU CHA BIASHARA NA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI.MTIRIRIKO WA FEDHA TOKA NCHI ZISIZO NA BAHARI NI MKUBWA (ZAMBIA,RWANDA,UGANDA,BURUNDI,DRC,ZIMBABWE)..HIVYO TUPUNGUZE VIGEZO VIGUMU KURUHUSU FEDHA ZA KIGENI KUINGIA ZAIDI NCHINI KUSAIDIA KUZIBA PENGO KTK MAHITAJI YA MSINGI KAMA MAFUTA,MITAMBO,MADE
NI

❇️MALIPO YA MILADI,MILADI YA UJENZI WA MIUNDOMBIMU MIKATABA YA MALIPO IFUNGWE KWA FEDHA YA TANZANIA NA SI VINGINENYO.

❇️MWISHO,UCHUMI WA VIWANDA NA BIASHARA TANZANIA UMESHIKWA NA WATANZANIA WENYE ASILI YA KIASIA..HAWA WAPO TANZANIA KIMASLAHI ZAIDI HASA TANGU UTAIFISHAJI UFANYIKE KIPINDI CHA HAYATI J.K NYERERE..WANA TOROSHA FEDHA NYINGI KWENDA KWENYE NCHI ZAO ZA ASILI AU MAKAZI YA NDOTO KAMA CANADA,MAREKANI NA UINGEREZA..UDHIBITI WA BIASHARA ZAO HASA KTK IMPORTATION NA EXPORTS UMULIKWE ..NI WAJUZI WA KUTENGENEZA COMMERCIAL INVOICE FAKE ILI KUPATA RIDHAA YA KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI AU KUTUMA NJE.
 
Jana nilienda kununua oil filter kariakoo nikaambiwa elf 35 wakati service ya mwisho nilinunua elf 15. Yaani ndani ya miezi sita item inapanda bei kutoka 15 hadi 35 halafu waziri akija anakuja na story za uchumi himilivu, uwezo wa dola haujatetereka na blah blah nyingine kibao.

Haya mambo yalishatokea Ghana ambapo sarafu yao inayoitwa cedi ilipoteza thamani ikaonekana kama makaratasi tu hadi ukafanyika mpango maalumu wa kutumia dola nafikri kipindi Koffi Annan akiwa katibu mkuu UN. Kila mtu anajua ishu ya zimbabwe.

Sasa kwa item moja kupanda bei kwa kasi hivyo tutarajie pesa za madafu kuendelea kukosa thamani kabisa hasa kwenye kununua bidhaa zinazotoka nje endapo siasa zitaendelea kutumika kuendesha uchumi wa nchi.

Nawasilisha.​
 
15 mpka 35 kwa miez sita... kwa mwaka huu sio kweli kua $ ndio sababu.... wenda sasa ndio umeuziwa filter og tofaut na ile ya 15
 
Kwani dolla na uchumi wetu wapi na wapi au mdo kulazimisha utumwa
 
Kwani dolla na uchumi wetu wapi na wapi au mdo kulazimisha utumwa
Mambo mengine siyo lazima yawe ndani ya uwezo wako kuweza kuyaelewa, soma comments za wajuvi uambulie chochote.
 
Back
Top Bottom