Kufuatia upungufu wa dola, BoT yatoa maelekezo ya kudhibiti Viwango Vya Miamala

Kwani hapo limetumika mwanzo wa sentensi, wee jamaa bhana...
Mambo magumu sana. Kwani mkataba unasoma miaka mingapi? 😁

NB: initial letter zote za proper nouns huwa capitalized pia
 
Akili za kuambiwa changanya tumia na zakwako kwanini ulazimishe pesa ya nchi nyingine itawale kwenye nchi yako huo ni utumwa ulishawahi sikia wenye dolla wanasema shilingi kwenye benki zao zimekosa hesabu ni ndogo naenda china uko kwenye nchi yangu nakupa pesa yangu nikifika kwako nachenji unanipa ya nchi yako kazi ni ndogo tuache utumwa
 
Huwezi kung'amua chochote kwenye hili bandiko langu kwa sababu huna ufahamu huo, jitahidi kutoboa kwenye elimu maana hicho kichwa kitaishia kufuga nywele.
 
Tarehe 08 Juni 2023 nilienda katika benki moja kubwa TU hapa nchini,ambayo kwa miaka yote ya kazi zangu hua naitumia kwa ajili ya malipo ya ununuzi wa nje ya nchi.
Nikiwa na fomu zangu za TT kwa ajili ya kufanya malipo kwa fedha ya USD niliambiwa,"unafahamu kua hakuna usd?".
Hakuna USA Kwa zaidi ya wiki mbili Sasa"je unaweza kulipa kwa Yuan? Maana hizo tunazo nyingi".
Niliwaeleza umuhimu wa shida yangu,wakaanza kupigana simu ofisini,mazungumzo yalikua ni kua hakuna USD.
Maneno waliyokua wakiongea hawakujua kama najua kinachoendelea duniani.

Sitaki kusema mengi lakini USD imeadimika.
Nasikia hata wabunge walihoji Hali hiyo.
Je Putin ndio chanzo Cha kuadimika Dola au,wachumi naomba mje mtoe ufafanuzi plz.
 
Putin kaziweka mfukoni?
 
Tatizo kubwa liko ndani mwenu Acheni kuisingizia Marekani! Mbona hatujawasikia walioko huko kuyaona haya?
Ninyi wenyewe mnaficha kwa ajili ya uchaguzi 2025!
Mnafanya hata wafanyibiashara kutokumudu kazi zao.
Huku mnapitisha mikataba Hovyo!
Ninyi mbona hambanani kwenye posho za kila siku bungeni?.
Athenian kulitafuna Taifa hili.
 
Hakuna anaekulazimisha, system ilivyowekwa ndio inakulazimu
 
 
 
.
 
.
 
Hahahaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…