Kufuatilia Story za JF ni zaidi ya darasa la Uvumilivu

Kufuatilia Story za JF ni zaidi ya darasa la Uvumilivu

Cvez

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
4,405
Reaction score
13,411
Long story short wanaanza vizuri tu episodes 5 za mwanzo mpaka mwenyewe utapenda. Akishapata kijiji sasa ndio dharula zinaanza, mara mbuzi wangu wameingia kwenye shamba la watu, mara mtoto anaharisha, au baiskeli yangu imeibiwa spokes kila mtu atakuja na dharula yake.

Hii tabia ni kama kirusi wote wameathirika nacho with exception of DeepPond yeye ndio mwenye hio kinga anamaliza kama alivyoanza.

Mkiwasema sana wanasusa.​
 
Kila muanzisha story ana lengo tofauti. Kuna ambaye ni sehemu ya kuimarisha ssaikolojia. Chukulia unakuta jumbe 10 kila siku zinakubembeleza ,hata wewe unaenjoy
Kabisa nadhani inawaletea ile hali ya wao kujiona ni muhimu
 
Kabisa nadhani inawaletea ile hali ya wao kujiona ni muhimu
Exactly. Kiuhalisia watu wengi (Majority) ni wapweke, hivyo hutumia mitandao kama tiba (sober) ,ndo maana kuna uteja wa mitandao ya kijamii.
 
Long story short wanaanza vizuri tu episodes 5 za mwanzo mpaka mwenyewe utapenda. Akishapata kijiji sasa ndio dharula zinaanza, mara mbuzi wangu wameingia kwenye shamba la watu, mara mtoto anaharisha, au baiskeli yangu imeibiwa spokes kila mtu atakuja na dharula yake. Hii tabia ni kama kirusi wote wameathirika nacho with exception of DeepPond yeye ndio mwenye hio kinga anamaliza kama alivyoanza.

Mkiwasema sana wanasusa.​
Ungeweka na list ya wanaozingua hapo ndio ungeeleweka vizuri. Ila kumtaja asiyezingua, it means the rest tunafall kwenye uzinguaji 😅😅😅

Hebu nitoe kwenye list ya waandishi wenu uchwara wa jeifu, wanaopost every after a week. 😅😅😅

Ila hata hivyo siwalaumu waandishi, lawama zijr kwenu wasomaji. Mkoo too obsessed kiasi kwamba mnaji undervalue. Imagine mtu anakaa wiki nzima bila kupost mnatukana weee, alaf siku akija kupost, nyie nyie mtasema "Asante mkuu, barikiwa, umetisha nk mnasahau kila kitu. Kwa mtindo huo kwann msiendeshwe.

Alaf utasikia mtu anashauri mods waufunge Uzi ambao msimuliaji anazingua, hapo it means nyie wenyewe hamuwezi kujicontrol. Sometime wanakaa kimya kutafuta attention, then mkiwapa hiyo attention ndio wanazidi kuvimba. Mwandishi mzinguaji, mpotezee, ndio maana ktk story nyingi, Mimi nachangiaga mara chache, ila sio kwamba sisomagi. Huwa nasubiria kuona muelekeo wa mwandishi kwanza.

Unakuta Uzi unatrend, unatembea kwa speed sana, pages hata 30 per day, ila humo ndani badala ya wasomaji kujadili story na contents zake, unakuta malalamiko tu.

Badala ya kumcontrol mwandishi, hebu jifunzeni kujicontrol nyie. Mkiweza tu, hao waandishi wote watakuwa humble kama ilivyokuwa kitambo
 
Back
Top Bottom