Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Dah hadi wewe mchumba unamikandia 😀Imagine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hadi wewe mchumba unamikandia 😀Imagine
Hii ni kweli kabisaUngeweka na list ya wanaozingua hapo ndio ungeeleweka vizuri. Ila kumtaja asiyezingua, it means the rest tunafall kwenye uzinguaji 😅😅😅
Hebu nitoe kwenye list ya waandishi wenu uchwara wa jeifu, wanaopost every after a week. 😅😅😅
Ila hata hivyo siwalaumu waandishi, lawama zijr kwenu wasomaji. Mkoo too obsessed kiasi kwamba mnaji undervalue. Imagine mtu anakaa wiki nzima bila kupost mnatukana weee, alaf siku akija kupost, nyie nyie mtasema "Asante mkuu, barikiwa, umetisha nk mnasahau kila kitu. Kwa mtindo huo kwann msiendeshwe.
Alaf utasikia mtu anashauri mods waufunge Uzi ambao msimuliaji anazingua, hapo it means nyie wenyewe hamuwezi kujicontrol. Sometime wanakaa kimya kutafuta attention, then mkiwapa hiyo attention ndio wanazidi kuvimba. Mwandishi mzinguaji, mpotezee, ndio maana ktk story nyingi, Mimi nachangiaga mara chache, ila sio kwamba sisomagi. Huwa nasubiria kuona muelekeo wa mwandishi kwanza.
Unakuta Uzi unatrend, unatembea kwa speed sana, pages hata 30 per day, ila humo ndani badala ya wasomaji kujadili story na contents zake, unakuta malalamiko tu.
Badala ya kumcontrol mwandishi, hebu jifunzeni kujicontrol nyie. Mkiweza tu, hao waandishi wote watakuwa humble kama ilivyokuwa kitambo
Ndio😀😀😀😀Dah hadi wewe mchumba unamikandia 😀
😀😀😀😀😀😀😀😀😀bwana angu humjuiAah umepata bwana mwingine
qu Half american
🤣🤣🤣😀😀😀😀😀😀😀😀😀bwana angu humjui
Aah umepata bwana mwingine
qu Half american
Maajabu ujanisakama leo hapa
Tunaomba kazi na sisi mzee ili tusiendeshwe na storiesWengi humu hamna kazi vijana.
Stori huwa nazisoma lakini hazijawahi kuniendesha. Ikiendelea isipoendelea kwangu ni sawa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] akijua kama umenitumia hela ya pasaka utakoma
😂 kwahiyo unajua Amehlo ndio shemeji yako?Aah umepata bwana mwingine
qu Half american
nimesoma vizuri sana na kukuelewa lakini naomba nikuambie kitu kuna kinasisi ambao hatuko bored ila tunapenda kusoma riwaya au hadithi, ubaya au uzuri ukute story imekukonga moyo kila ukichungulia hola ukichungulia hola bad enough mwenye story yake yuko anazurura huko kwenye majukwaa mengine it means anaona mention ila ameamua kupuuza, anayekua busy hata jf hana muda na akiingia hufanya kilichomleta na kuendelea na hamsini zakeBinadamu ni kiumbe dhaifu sana, nakushangaa unapotafuta ukamilifu kwa binadamu.
Just try kuwa busy na mambo yako itakusaidia sana kupunguza burning feeling za kusubiri muendelezo.( Jitahidi usiwe mpweke na usiwe naa stress)
Sometimes na sisi wasomaji tunazingua tukishaipenda story basi tunajipa power ya kutaka lini na saa ngapi story iendelee pasipo kujua fanani naye ana maisha yake nje ya JF yanamsubiri akimbize nayo, subra yahitajika.
Na pia baadhi ya waleta story, hufanya makusudi kabisa kutaka kuonwa wa thamani na wanachokifanya kina thamani kwetu na sio kwao
(Hawa kiama chao chaja)
This is just one man opinion.....
Inakera sana siku hizi wale wa kutuchelewesha sisomi hadi iisheSure wanakera mnooo inaumiza saaaaana mtu
Gily Analyse Shunie Kelsea Nakadori Carleen Dr Restart Glenn Half american
Na nidharau kweli kweli mtu atoe excuse basi maana kwenye maisha ni kitu cha kawaida. Anatoa ahadi ambazo hazitimizi ni utoto uliotukuka bora hata iwe mara moja au mbili, imekua mazoea sasa. Kama hawajali audience bora wabaki nazo vichwani mwao kuliko kuleta vitu nusu nusu.nimesoma vizuri sana na kukuelewa lakini naomba nikuambie kitu kuna kinasisi ambao hatuko bored ila tunapenda kusoma riwaya au hadithi, ubaya au uzuri ukute story imekukonga moyo kila ukichungulia hola ukichungulia hola bad enough mwenye story yake yuko anazurura huko kwenye majukwaa mengine it means anaona mention ila ameamua kupuuza, anayekua busy hata jf hana muda na akiingia hufanya kilichomleta na kuendelea na hamsini zake
tunajua sana watu wana maisha mengine nje ya jf ila mtu alipoamuakutumia bando lake kututupia hadithi yake alijua fika hilo ni jukum anatakiwa kufika nalo mwisho, kitendo cha kutuacha hewan akija mtu anasema oh leo nimeirefusha sjui na upuuzi gan havimake sense
sote tu watu wazima mambo ya kufanywa watoto hatutaki post story yako imalize tulia kutudharau hiyo vipi kuna huyu SteveMollel kiburi ndio kimemjaa huko zamani hata hakua hivi, ana story ya tukibaki hai tutasimulia mods wakaifute mana hadithi iko hewani hamna kinachoendelea kuna hio ya mashada ya maua ndio kabisaa bora angekua offline ikajulika he is busy doing his things yan huko jukwaa la sports anazurura tu sio fair
😅🤣 acha ibaki kuwa hivyo Amehlo shikilia hapo hapoAnanikataa siku hizi hanipendi tena🙃 kwa sababu umemdanganya wewe ni mmarekani🤣
Rastaman 🤣Akija kwako atajua kuwa wewe kwenu ikwiriri huko🙃 cheusi Mangala aje kwa chaga boy handsome
View attachment 2580768