Kufuatilia Story za JF ni zaidi ya darasa la Uvumilivu

Kufuatilia Story za JF ni zaidi ya darasa la Uvumilivu

Ungeweka na list ya wanaozingua hapo ndio ungeeleweka vizuri. Ila kumtaja asiyezingua, it means the rest tunafall kwenye uzinguaji 😅😅😅

Hebu nitoe kwenye list ya waandishi wenu uchwara wa jeifu, wanaopost every after a week. 😅😅😅

Ila hata hivyo siwalaumu waandishi, lawama zijr kwenu wasomaji. Mkoo too obsessed kiasi kwamba mnaji undervalue. Imagine mtu anakaa wiki nzima bila kupost mnatukana weee, alaf siku akija kupost, nyie nyie mtasema "Asante mkuu, barikiwa, umetisha nk mnasahau kila kitu. Kwa mtindo huo kwann msiendeshwe.

Alaf utasikia mtu anashauri mods waufunge Uzi ambao msimuliaji anazingua, hapo it means nyie wenyewe hamuwezi kujicontrol. Sometime wanakaa kimya kutafuta attention, then mkiwapa hiyo attention ndio wanazidi kuvimba. Mwandishi mzinguaji, mpotezee, ndio maana ktk story nyingi, Mimi nachangiaga mara chache, ila sio kwamba sisomagi. Huwa nasubiria kuona muelekeo wa mwandishi kwanza.

Unakuta Uzi unatrend, unatembea kwa speed sana, pages hata 30 per day, ila humo ndani badala ya wasomaji kujadili story na contents zake, unakuta malalamiko tu.

Badala ya kumcontrol mwandishi, hebu jifunzeni kujicontrol nyie. Mkiweza tu, hao waandishi wote watakuwa humble kama ilivyokuwa kitambo
bitter truth na niliandika kwenye uzi wa stivu hapa tunatukanaa akija anaweka ka episodi watu mnashukuru ndo mana anaona hawa masengerema nayapeleka nnavotaka dawa ni kumpotezea mazima ajitungie ajiandikie ajisomee apate stress na depression azeeke
 
Hapo bolded Umefanya nimecheka sana 😅😅😅 take it easy. Uzi ukiganda we upotezee
 
Uko sahih mkuu wee hpn kwa Kweli haumo kwenye huo mkumbo

Yupo

Umughaka
Poker
Stivu ake moleli
Jack Daniel

Ni watu wababahifu sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
poker simjui ila hao walobaki kuna msomi, mjuaji na mshamba kila mtu ana kiwango cha dharau za kizamani sana ila blame on us readers aha watufanye kote tu maana nilianzisha kampeni jamani tuwapotezee hakuna kusoma wala kujibu au tusome no like no what kwa kifupi tuue saikolojia na vipaji vyao wakale hewa ila sasa mtu yupo online anakaa week hapost anatafutwa mpk uvungu wa pumb* anakua kimyaa siku anakuja na kaepisodi matu majinga yanasema asante sa kwa jins hiyo mtu ataacha kudharau? anatharau mpk anajambia usoni mazafanta boma yee boma liwanza hakuna fanani bila hadhira sasa hadhira tuna arosto mpk tunalendemka na udenda
 
Wengi humu hamna kazi vijana.
Stori huwa nazisoma lakini hazijawahi kuniendesha. Ikiendelea isipoendelea kwangu ni sawa.
Sawa mkuu, je umewapa kazi wakakataa? Kukosa kazi siyo maamuzi yao ndiyo maana wanashinda humu kupunguza strees, hata wewe siku ukiikosa hiyo kazi inayokufanya uvimbe utakuwa kama wao. Jua kwa kifupi tu kuwa hakuna anayependa kukosa kazi
 
Niliongea katika mzaha kijana wangu.
Najua changamoto mnayopitia vijana. Ni tatizo kubwa na linahuzunisha na zaidi huwezi msaidia kila mtu ndiyo inahuzunisha zaidi.
 
Mimi nimeshaaacha napotezewa muda tuu, unakuta Kuna stori unatamani kuisoma nikikumbuka tu naacha nafanya mambo mengine
 
Niliongea katika mzaha kijana wangu.
Najua changamoto mnayopitia vijana. Ni tatizo kubwa na linahuzunisha na zaidi huwezi msaidia kila mtu ndiyo inahuzunisha zaidi.
Mzaha wowote unaofanana na ukweli ni hatari sana ni bora useme ukweli kuliko ku u "coat" kwenye mzaha kwa hili umekosea sana vijana wanapitia mengi panapokua na ka loop hole ka faraja af unazidi kuwananga ukisingizia mzaha si sawa si fair,.usiombe kuvivaa viatu vyao itakua ngumu zaidi kwako kuliko wao
 
Mkubwa akikosea anaomba radhi wadogo zake. Kweli kabisa you are right.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Ameshuka cheo? Kwanini tena? [emoji28][emoji28]
[emoji23] Ebu niache basi we huoni kule anachotutenda sijui kapata shetani gani mwanzoni alikuwa hayupo hivi
 
Back
Top Bottom