Kufuatilia Story za JF ni zaidi ya darasa la Uvumilivu

Na nidharau kweli kweli mtu atoe excuse basi maana kwenye maisha ni kitu cha kawaida. Anatoa ahadi ambazo hazitimizi ni utoto uliotukuka bora hata iwe mara moja au mbili, imekua mazoea sasa. Kama hawajali audience bora wabaki nazo vichwani mwao kuliko kuleta vitu nusu nusu.
tunaomba mods wamchukulie hatua anachotufanyia sio haki na hakipendezi, mim angekua offline nisingeona shida anakua online na bado anazurura michezoni wakat anakiporo hajakimaliza katudharau sana kama anataka kulipwa aseme tujue moja tunazika ama tunasafirisha sio huu uhuni
 
Kweli kabisa au kuna mahala anaipata kwahiyo ikichelewa nayeye anachelewa, wakigoma muendelezo nayeye inakuwa ngumu kuupata
 
Ungeweka na list ya wanaozingua hapo ndio ungeeleweka vizuri. Ila kumtaja asiyezingua, it means the rest tunafall kwenye uzinguaji 😅😅😅

Hebu nitoe kwenye list ya waandishi wenu uchwara wa jeifu, wanaopost every after a week. 😅😅😅

Ila hata hivyo siwalaumu waandishi, lawama zijr kwenu wasomaji. Mkoo too obsessed kiasi kwamba mnaji undervalue. Imagine mtu anakaa wiki nzima bila kupost mnatukana weee, alaf siku akija kupost, nyie nyie mtasema "Asante mkuu, barikiwa, umetisha nk mnasahau kila kitu. Kwa mtindo huo kwann msiendeshwe.

Alaf utasikia mtu anashauri mods waufunge Uzi ambao msimuliaji anazingua, hapo it means nyie wenyewe hamuwezi kujicontrol. Sometime wanakaa kimya kutafuta attention, then mkiwapa hiyo attention ndio wanazidi kuvimba. Mwandishi mzinguaji, mpotezee, ndio maana ktk story nyingi, Mimi nachangiaga mara chache, ila sio kwamba sisomagi. Huwa nasubiria kuona muelekeo wa mwandishi kwanza.

Unakuta Uzi unatrend, unatembea kwa speed sana, pages hata 30 per day, ila humo ndani badala ya wasomaji kujadili story na contents zake, unakuta malalamiko tu.

Badala ya kumcontrol mwandishi, hebu jifunzeni kujicontrol nyie. Mkiweza tu, hao waandishi wote watakuwa humble kama ilivyokuwa kitambo
uko sahihi, mtu anatufanya kama watoto wake wakti ni watu na heshima zetu, unafikiri haon hizo mention anaona lakini ndio kashika makali audience imeshika mpini anatakiwa kubadilika steve haya anayoyafanya kwa mtu mzima hayana maana
 
Ungeweka na list ya wanaozingua hapo ndio ungeeleweka vizuri. Ila kumtaja asiyezingua, it means the rest tunafall kwenye uzinguaji [emoji28][emoji28][emoji28]

Hebu nitoe kwenye list ya waandishi wenu uchwara wa jeifu, wanaopost every after a week. [emoji28][emoji28][emoji28]

Ila hata hivyo siwalaumu waandishi, lawama zijr kwenu wasomaji. Mkoo too obsessed kiasi kwamba mnaji undervalue. Imagine mtu anakaa wiki nzima bila kupost mnatukana weee, alaf siku akija kupost, nyie nyie mtasema "Asante mkuu, barikiwa, umetisha nk mnasahau kila kitu. Kwa mtindo huo kwann msiendeshwe.

Alaf utasikia mtu anashauri mods waufunge Uzi ambao msimuliaji anazingua, hapo it means nyie wenyewe hamuwezi kujicontrol. Sometime wanakaa kimya kutafuta attention, then mkiwapa hiyo attention ndio wanazidi kuvimba. Mwandishi mzinguaji, mpotezee, ndio maana ktk story nyingi, Mimi nachangiaga mara chache, ila sio kwamba sisomagi. Huwa nasubiria kuona muelekeo wa mwandishi kwanza.

Unakuta Uzi unatrend, unatembea kwa speed sana, pages hata 30 per day, ila humo ndani badala ya wasomaji kujadili story na contents zake, unakuta malalamiko tu.

Badala ya kumcontrol mwandishi, hebu jifunzeni kujicontrol nyie. Mkiweza tu, hao waandishi wote watakuwa humble kama ilivyokuwa kitambo
Uko sahih mkuu wee hpn kwa Kweli haumo kwenye huo mkumbo

Yupo

Umughaka
Poker
Stivu ake moleli
Jack Daniel

Ni watu wababahifu sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom