Kufuatilia Story za JF ni zaidi ya darasa la Uvumilivu

Hii ni kweli kabisa
 
Binadamu ni kiumbe dhaifu sana, nakushangaa unapotafuta ukamilifu kwa binadamu.

Just try kuwa busy na mambo yako itakusaidia sana kupunguza burning feeling za kusubiri muendelezo.( Jitahidi usiwe mpweke na usiwe naa stress)

Sometimes na sisi wasomaji tunazingua tukishaipenda story basi tunajipa power ya kutaka lini na saa ngapi story iendelee pasipo kujua fanani naye ana maisha yake nje ya JF yanamsubiri akimbize nayo, subra yahitajika.

Na pia baadhi ya waleta story, hufanya makusudi kabisa kutaka kuonwa wa thamani na wanachokifanya kina thamani kwetu na sio kwao
(Hawa kiama chao chaja)

This is just one man opinion.....
 
nimesoma vizuri sana na kukuelewa lakini naomba nikuambie kitu kuna kinasisi ambao hatuko bored ila tunapenda kusoma riwaya au hadithi, ubaya au uzuri ukute story imekukonga moyo kila ukichungulia hola ukichungulia hola bad enough mwenye story yake yuko anazurura huko kwenye majukwaa mengine it means anaona mention ila ameamua kupuuza, anayekua busy hata jf hana muda na akiingia hufanya kilichomleta na kuendelea na hamsini zake

tunajua sana watu wana maisha mengine nje ya jf ila mtu alipoamuakutumia bando lake kututupia hadithi yake alijua fika hilo ni jukum anatakiwa kufika nalo mwisho, kitendo cha kutuacha hewan akija mtu anasema oh leo nimeirefusha sjui na upuuzi gan havimake sense

sote tu watu wazima mambo ya kufanywa watoto hatutaki post story yako imalize tulia kutudharau hiyo vipi kuna huyu SteveMollel kiburi ndio kimemjaa huko zamani hata hakua hivi, ana story ya tukibaki hai tutasimulia mods wakaifute mana hadithi iko hewani hamna kinachoendelea kuna hio ya mashada ya maua ndio kabisaa bora angekua offline ikajulika he is busy doing his things yan huko jukwaa la sports anazurura tu sio fair
 
Na nidharau kweli kweli mtu atoe excuse basi maana kwenye maisha ni kitu cha kawaida. Anatoa ahadi ambazo hazitimizi ni utoto uliotukuka bora hata iwe mara moja au mbili, imekua mazoea sasa. Kama hawajali audience bora wabaki nazo vichwani mwao kuliko kuleta vitu nusu nusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…