tunaomba mods wamchukulie hatua anachotufanyia sio haki na hakipendezi, mim angekua offline nisingeona shida anakua online na bado anazurura michezoni wakat anakiporo hajakimaliza katudharau sana kama anataka kulipwa aseme tujue moja tunazika ama tunasafirisha sio huu uhuniNa nidharau kweli kweli mtu atoe excuse basi maana kwenye maisha ni kitu cha kawaida. Anatoa ahadi ambazo hazitimizi ni utoto uliotukuka bora hata iwe mara moja au mbili, imekua mazoea sasa. Kama hawajali audience bora wabaki nazo vichwani mwao kuliko kuleta vitu nusu nusu.
Kweli kabisa au kuna mahala anaipata kwahiyo ikichelewa nayeye anachelewa, wakigoma muendelezo nayeye inakuwa ngumu kuupatatunaomba mods wamchukulie hatua anachotufanyia sio haki na hakipendezi, mim angekua offline nisingeona shida anakua online na bado anazurura michezoni wakat anakiporo hajakimaliza katudharau sana kama anataka kulipwa aseme tujue moja tunazika ama tunasafirisha sio huu uhuni
Kiukweli wanaudhi sana. Hakuna anayewalazimisha kuleta stori, wanazileata kwa hiari yao kisha eti wanaringa! Wajinga sana!Ukawafungulia na uzi kabisa ,,basi wamekuudhi mnooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mimiInakera sana siku hizi wale wa kutuchelewesha sisomi hadi iishe
uko sahihi, mtu anatufanya kama watoto wake wakti ni watu na heshima zetu, unafikiri haon hizo mention anaona lakini ndio kashika makali audience imeshika mpini anatakiwa kubadilika steve haya anayoyafanya kwa mtu mzima hayana maanaUngeweka na list ya wanaozingua hapo ndio ungeeleweka vizuri. Ila kumtaja asiyezingua, it means the rest tunafall kwenye uzinguaji ๐ ๐ ๐
Hebu nitoe kwenye list ya waandishi wenu uchwara wa jeifu, wanaopost every after a week. ๐ ๐ ๐
Ila hata hivyo siwalaumu waandishi, lawama zijr kwenu wasomaji. Mkoo too obsessed kiasi kwamba mnaji undervalue. Imagine mtu anakaa wiki nzima bila kupost mnatukana weee, alaf siku akija kupost, nyie nyie mtasema "Asante mkuu, barikiwa, umetisha nk mnasahau kila kitu. Kwa mtindo huo kwann msiendeshwe.
Alaf utasikia mtu anashauri mods waufunge Uzi ambao msimuliaji anazingua, hapo it means nyie wenyewe hamuwezi kujicontrol. Sometime wanakaa kimya kutafuta attention, then mkiwapa hiyo attention ndio wanazidi kuvimba. Mwandishi mzinguaji, mpotezee, ndio maana ktk story nyingi, Mimi nachangiaga mara chache, ila sio kwamba sisomagi. Huwa nasubiria kuona muelekeo wa mwandishi kwanza.
Unakuta Uzi unatrend, unatembea kwa speed sana, pages hata 30 per day, ila humo ndani badala ya wasomaji kujadili story na contents zake, unakuta malalamiko tu.
Badala ya kumcontrol mwandishi, hebu jifunzeni kujicontrol nyie. Mkiweza tu, hao waandishi wote watakuwa humble kama ilivyokuwa kitambo
kwa yule sidhani kama kuna mahala anakopi sina uhakika, amekua mbabaishaj sanaKweli kabisa au kuna mahala anaipata kwahiyo ikichelewa nayeye anachelewa, wakigoma muendelezo nayeye inakuwa ngumu kuupata
Yaaani ila wanakerauko sahihi, mtu anatufanya kama watoto wake wakti ni watu na heshima zetu, unafikiri haon hizo mention anaona lakini ndio kashika makali audience imeshika mpini anatakiwa kubadilika steve haya anayoyafanya kwa mtu mzima hayana maana
Lakini namim ni mtu nna moyo pia๐Anachekesha
huko nyuma hakua hivibkabisa ilikuahl hata akichelewa haiwi wiki mbili wala mwez na akiweka anaweka had unafrah ajabu sijui kawaje labda ndio sifa ziliponza kichwa ๐ฅบ na hivi tunavomlalamikia ukute huko ndio furaha yakeYaaani ila wanakera
Hata mimi nnaamini hvyo ila kwa mwenendo wake anatilia shakakwa yule sidhani kama kuna mahala anakopi sina uhakika, amekua mbabaishaj sana
anajivunjia uaminifu lakini ukute pia huu uzi anaufatilia huko alikoHata mimi nnaamini hvyo ila kwa mwenendo wake anatilia shaka
๐๐๐tena wa nyamaLakini namim ni mtu nna moyo pia๐
Uaminifu kashauvunja kwa anayoyafanyaanajivunjia uaminifu lakini ukute pia huu uzi anaufatilia huko aliko
Angesema neno moja tu tujuehuko nyuma hakua hivibkabisa ilikuahl hata akichelewa haiwi wiki mbili wala mwez na akiweka anaweka had unafrah ajabu sijui kawaje labda ndio sifa ziliponza kichwa ๐ฅบ na hivi tunavomlalamikia ukute huko ndio furaha yake
๐ ila wewe utaniandalia tukio ndio raha yako ilipo๐๐๐tena wa nyama
anaona aibu kwa anayoyafanya lazima wampopoe hata asitoe hilo neno akae tu kimya akiamua kubaki na story yake ahadithie wanae ni sawa tuAngesema neno moja tu tujue
Uko sahih mkuu wee hpn kwa Kweli haumo kwenye huo mkumboUngeweka na list ya wanaozingua hapo ndio ungeeleweka vizuri. Ila kumtaja asiyezingua, it means the rest tunafall kwenye uzinguaji [emoji28][emoji28][emoji28]
Hebu nitoe kwenye list ya waandishi wenu uchwara wa jeifu, wanaopost every after a week. [emoji28][emoji28][emoji28]