Tatizo mnawabembeleza sana π π π . Nyie kaeni hata wiki bila kucomment anything, mnaufungua Uzi alaf mnaondoka kimya kimya π π[emoji23] Ebu niache basi we huoni kule anachotutenda sijui kapata shetani gani mwanzoni alikuwa hayupo hivi
Hivi umeshaniona nacomment kule huo mda sina acha wabaki wanaolialiaTatizo mnawabembeleza sana [emoji28][emoji28][emoji28]. Nyie kaeni hata wiki bila kucomment anything, mnaufungua Uzi alaf mnaondoka kimya kimya [emoji28][emoji28]
Sorry alipokea hela Kwa hadithi humu?hadithi ipi unaweza nipa link?Poker toka apokee 2M hajarudi
Story yake niliyosomaga ni ile ya Big (nashkuru ulinitag). Mbeleni alivyoanza kusua sua, wadau wakawa wanakwambia umuite maana ww ndio unamuwezea. Na ukija utasikia "Tivu ake njoo basi" π π π . Na ww umemshindwa? π πHivi umeshaniona nacomment kule huo mda sina acha wabaki wanaolialia
Nimenyoosha mikono juu nimemshindwa kwakweli halafu tumetoka naye mbali sana sisi wengine mashabiki zake tuna miaka naye 6 au 7 sijui nini kimembadilishaStory yake niliyosomaga ni ile ya Big (nashkuru ulinitag). Mbeleni alivyoanza kusua sua, wadau wakawa wanakwambia umuite maana ww ndio unamuwezea. Na ukija utasikia "Tivu ake njoo basi" [emoji28][emoji28][emoji28]. Na ww umemshindwa? [emoji28][emoji28]
Fan base imekua. Wanaona raha kutrend. Story iwe na episode 10, lakini pages ni ziwe nyingi.Nimenyoosha mikono juu nimemshindwa kwakweli halafu tumetoka naye mbali sana sisi wengine mashabiki zake tuna miaka naye 6 au 7 sijui nini kimembadilisha
Ni kweli kabisa unachosema halafu uzuri sisi mashabiki zake wa zamani tunamwambia ukweli Madame S alichoongea hapo juu wala hajamuongelea uongo na kwenye thread yake tulimwambia ukweli hata kama hajajibu lakini amesoma na ujumbe amepata toka alivyoanza mambo yake ya arosto sicoment chochote kuleFan base imekua. Wanaona raha kutrend. Story iwe na episode 10, lakini pages ni ziwe nyingi.
Hivi kuna raha gani Uzi kutrend, ila ni malalamiko na matusi tupu? [emoji848]
Nilisahau nilipoishia, kuanza tena kutafuta muendelezo katikati ya comment malumbano ni kazi sana. Nimezipotezea story nyingi kwa mtindo huoNi kweli kabisa unachosema halafu uzuri sisi mashabiki zake wa zamani tunamwambia ukweli Madame S alichoongea hapo juu wala hajamuongelea uongo na kwenye thread yake tulimwambia ukweli hata kama hajajibu lakini amesoma na ujumbe amepata toka alivyoanza mambo yake ya arosto sicoment chochote kule
Sisi wapenda simulizi tunateseka sana asee nakuelewa sana Madam ni kama umenisaidia kufunguka.huko nyuma hakua hivibkabisa ilikuahl hata akichelewa haiwi wiki mbili wala mwez na akiweka anaweka had unafrah ajabu sijui kawaje labda ndio sifa ziliponza kichwa [emoji3064] na hivi tunavomlalamikia ukute huko ndio furaha yake
mimi niliwahi had kua mwanachama wake kule telegram sku hizi ninachofanya ili nisiumie na arosto nakua nampa muda mwandishi siku nikiingia nikisoma nakuta page zimeenda enda kias inanisaidia lakini naona kaamua kututelekeza kabisaaaNi kweli kabisa unachosema halafu uzuri sisi mashabiki zake wa zamani tunamwambia ukweli Madame S alichoongea hapo juu wala hajamuongelea uongo na kwenye thread yake tulimwambia ukweli hata kama hajajibu lakini amesoma na ujumbe amepata toka alivyoanza mambo yake ya arosto sicoment chochote kule