Inawezekana akili zetu zilishageuzwa au kutekwa, na hao wanaofanya hayo mambo ili tusipate muda wa kujadili maovu yao. Ndio maana wengi tunapuuzia
Hakika, sijui kama ishawahi kukutokea, kuna wakati unaota kabisa watu mliyokwisha wazika miaka ya zamani wapo hai na wanadunda tu...Halafu wengi wetu hatutaki kuyafikiriaπ€π€π€
Hamna kitu hapo ni ulofa mtupu..NI sawa na kumdhalilisha Mungu kwa maana unakuwa umeamini ana uwezo sawa na shetaniUzi fikirishi sana huu
Sasa hii Galatians 6 inahusikaje na agenda hii ya kuzikung'uta nguvu za giza?kuna MUNGU mmoja katika nafsi tatu, unavyosema YESU hilo ni jina la MUNGU kwani wote ni mmoja
mwanadamu amepewa mamlaka hata ya kumuamrisha malaika na chochote kupitia jina YESU KRISTO
JUzi nilimuota mshikaji wangu mmoja hivi (RT) tumemzika kama mwezi mmoja uliopita hivi, nikamuota kapita karibu yangu akiwa katinga kaunda nyeusi, yuko very smart. Ila kwa jinsi alivyonipita, ni kama hanijui vile.Hakika, sijui kama ishawahi kukutokea, kuna wakati unaota kabisa watu mliyokwisha wazika miaka ya zamani wapo hai na wanadunda tu...
Uko sahihi, tatizo ni ngumu sana kutafiti nguvu za kiza. Inaweza kuwz ile unaanza tu, na wewe chali, RIPHabari za watu kufa na kuzikwa na baadae kupatikana wakiwa hai ni za kushangaza mnooo.
Yaani mtu amekufa kwa kuugua au ajali au ghafla tuu, hospitalini wanahakikisha amekufa na wanatoa cheti cha kifo na mwili mnakadhiwa, mnaenda kuzika na viongozi wa serikali za mtaa, viongozi wa dini na familia wanashiriki na kusema Mungu amempenda zaidi.
Imagine wafiwa wanaomboleza na kusahau kisha baada ya muda marehemu anapatikana yupo hai katika hali tata. Hili jambo ni la kutisha na kushangaza sana na ni jambo linalodhihirisha uwepo watu wengi wanaodhaniwa wamekufa lakini inawezekana kabisa wapo kama walivyopatikana hawa.
Waandishi wa habari nadhani huu ni muda muafaka wa kulifanyia hili jambo habari za uchunguzi wa kina. Uchunguzi ambao utasaidia kujua haswa ni nini kinatokea hadi binadamu anaonekana amekufa, tena kitabibu kabisa mahospitalini, anazikwa na kisha anapatika akiwa hai.
Hizi habari zinagusa uhai wa mwanadamu lakini bahati mbaya hazipewi airtime kivileee na medias rasmi wala zile za udaku wala hazifanyiwi uchunguzi utakaoisaidia jamii mbeleni. Badala yake habari Zinazokik ni zile za Connections (ngono) na hapa ndio utagundua nguvu gani imeshikilia mitandao ya kijamii
Mungu atusaidie kumtafuta yeye na nguvu zake
Dah pole sana Mkuu,hii historia yako ni mara ya pili unaisimulia. Inaonesha ni jinsi gani jambo hili linakutesa,huyo Bi.Mkubwa ipo siku ataumbuka tu.Ata Mm baba yetu Alikufa mwaka 2003 , lakini chaajabu anaonekana mpaka leo akiwa na manywele marefu uko kijijin kwetu , na kuna wakati anawatoke kaka zangu ghafla na kupotea, Najitahidi nipate hela Nikatafute kibali Manispaa nifukue kaburi lake .
Maana alikufa alikufa kifo cha hospitali kabisa na hati ya kifo ipo na aliugua kwa week mbili akalazwa KCMC Moshi.
Ingawa, ata alipokufa watu walishaanza kumshuku Mama mkubwa wetu kwa kuwa ni mchawi na ndio alikuwa mke mkubwa wa baba yangu , na ndiye aliyekuwa naye na ugomvi wamuda mrefu kuhusu kuuza nyumba, ambapo baba alitaka kuuza nyumba ili agawe kwa watoto wake waliokuwa wanateseka ili hali alijenga nyumb hiyo kwaajili ya watoto ila baadaye baada ya miaka 25, yakuachana na huyu mke mkubwa na aka oa na kuzaa na mwanamke mwingine na akawa kwake na watoto wake. ghafla maugomvi yaliibuka mzee akawa napiga na kukufukuza watoto, na mke mdogo ghafla aliugua karibi kufa, akaja chukuliwa na ndugu kupelekwa natibabuni, andani yaweek hiyo hiyo ghalfa Mke mkubwa aliye kuwa ameachana na baba kwa miaka25,. na akawa alishaendelea na maisha yake uko mikoa mingne na kuzaa mtoto na mwanaume mwingie, tuka shangaa amerudi na mzee akawa kama chinzi hakumbuki watoto wa mke mdogo, na anapelekeshwa kama mtoto , mke mdogo alipo pona maradhi yaliyo shindikana mahospitalin mpaka akaenda kutibiwa kwa jadi ndio akapona , aka kaa mbali kabisa na ile nyumba na akaanza kulea watoto wake mwenyewe ingawa Nyumba walijenga mama yangu na baba ila aliisusa kabisa,
Tukiwa tunaishj maisha yetu, miaka ikapita tukasikia Mzee akilinzime mjia anawakumbuka watoto wake na anapiga simu kwa ndugu zake kutaka kujua tupo wapi, ingawa baada ya muda tena akili zina mpotea anasema hajui kama ana watoto wengine,
Baada ya Muda tena akili zika mjia akanza fujo anataka Hati ya Nyumba , alipo onyeshwa aka kuta jina limebadilika, yule mama. sijui alifanyaje akaweka jina lake, alipotaka mwanasheria wake ampe zile karatasi zilizokuwa zime wekwa sihihi yake ya kwamba nyumba ni ya watoto wake aliyo zaa na mke mkubwa, Mwanasheria aka mwambia mbona ulikujaga hapa na mkeo mkubwa ukaziomba, na ukazichana ukiwa naye mkachukua na hati ya nyumba mkaondoka, Baba akashangaa sana akasema mbona hajawahi fanya hivyo?
Kwanzia hapo akili ika mkaa sawa, akawa anataka kuuza ile nyumba awatafute wanawe agawie chochote kitu, ikiwa ni mitaji ya biashara , maana aliambiwa watoto wake wana maisha mabaya sana mtaani, Purukushani zikanza na mke mkubwa uko ndani, hapa kaliki ni mapanga na kufukuzana.
Mambo yaka enda , ghafla tukaambiwa mzee anau umwa kalazwa, ana sukari, tuka muhudumia kwa week 2 KCMC , akafariki tuka zika.
Lakin tangu amefariki vituko vya kuonekana kwake vipo kila wakati, mara leo amuone huyu , kesho aonekane na yule, wanasema haongei ila ankuwa na mnyele marefu na kucha kubwa alafu uso una kama ukurutu na nimchafu sana, ila ukimsogelea uka mwita kwa jina anapotea.
Watu watatu katika nyakat tofaut waha muona ikiwamo ndugu wa wili na majirani wa kule kijijjn.
Nimepanga kuomba manispaa wanipe kibali nikafukue kaburi.. Hasa nikipata hela.
Mungu anisaidie Wakati ufike nikaone kama kweli kule kaburini yupo kama tulivyo mzika na mifupa yake au hakuna kitu.
Mazingaombwe ndio?
Hawa watu mimi binafsi nachoka naudhika nasumbuka natingwa kwa utapeli huu
Mbona huwa ni watu wa maisha duni tu kwani wenye pesa hawafi?
Mochwari zhospitali zipo mbona hawaendi huko kuponya watu
Hi kuwafungulia mashtaka iwe fundisho kwa wengine
Mazingaombwe ndio?
Kuna mshkaji wangu alikufa gafla mwezi wa tisa mwaka jana tukamzika,ila hadi leo anaonekana na kupotea,,,,jitihada zinafanyika nitaleta mrejeshoAta Mm baba yetu Alikufa mwaka 2003 , lakini chaajabu anaonekana mpaka leo akiwa na manywele marefu uko kijijin kwetu , na kuna wakati anawatoke kaka zangu ghafla na kupotea, Najitahidi nipate hela Nikatafute kibali Manispaa nifukue kaburi lake .